Kwani ulitaka those terrorists to inform you that they coming?😂😂Walivamia mara moja kwa kushtukiza tena usiku kwenye kijiji cha mpakani lakini walichofanywa hawatarudi mpaka kesho lakini alshabab wanawaua wakenya kila siku.
Sgr ni sgr tu mjomba[emoji1787][emoji1787]
Nyaya hata kw meter gauge unaweka tu
Exposure ndio shida kwenu.Sasa hii ina umeme ambao ni nadra sana kuona katika bara la Afrika. Nioneshe meter au Cape gauge yenye nyaya kama ya bongo.
BET hakunaga top three, either upate award au utoke mtupu! 🤣 🤣 🤣But remember, he is the one and only in east Africa..he is in the top 3 of best african musicians
😂 😂 😂Hicho ndio kigezo[emoji1787][emoji1787]
Kakojoe ulale mzee, kwhyo kw akili zako lil baby anamzidi kendrick Lamar kisa kachukua BET
Niambie kwa nini nonini hakuwa nominated katika ile category, unataka kusema Nonini wako sawa na platnumz??!..ukiona msanii kawa nominated BET awards ujue ujue huyo ni top musician hasa ile best African actBET hakunaga top three, either upate award au utoke mtupu! 🤣 🤣 🤣
WTF, Lil baby ako sawa, lakini kimistari ya kizee hamfiki KD hata robo. Lil baby is just a "rapper-rapper", but KD is a fkng "Lyrical Master"! You feel me? 😂 😂 😂Ndo maana yake, Kendrick alikuwa bora kwa wakati wake ule but now baby ni hot...take that.
50 c, Luda, Papoose nk nk, wote hao hawakuwa nominated, wataka kusema ni watupu? 😂 😂 😂 Pale BET siasa tupu, ndo maana mlipoanza kumtilia fitina Mondi kisa ni rafiki wa serikali etc, akaambulia patupu.Niambie kwa nini nonini hakuwa nominated katika ile category, unataka kusema Nonini wako sawa na platnumz??!..ukiona msanii kawa nominated BET awards ujue ujue huyo ni top musician hasa ile best African act
Eti rapper rapper🤣WTF, Lil baby ako sawa, lakini kimistari ya kizee hamfiki KD hata robo. Lil baby is just a "rapper-rapper", but KD is a fkng "Lyrical Master"! You feel me? 😂 😂 😂
Ndio nikamuuliza hyo jamaa anayeshobokea nomination ya BET, we ukitaka kuheshimika chukua AWARD ndio uje utunishie watu misuli km african giant mwnywe(Burna boy)WTF, Lil baby ako sawa, lakini kimistari ya kizee hamfiki KD hata robo. Lil baby is just a "rapper-rapper", but KD is a fkng "Lyrical Master"! You feel me? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hajui watu walishazitumia toka kitambo! 🤣 🤣 🤣
Nyaya ni nyaya mzee bora ziwe zinapitisha umeme kw kiwangoSasa hii ina umeme ambao ni nadra sana kuona katika bara la Afrika. Nioneshe meter au Cape gauge yenye nyaya kama ya bongo.
Wale watoto wa juzi tunawatambua! 😂 😂 😂Eti rapper rapper🤣
Hili dude toka jana limepaki hapo jniaAre you really ok? Maybe naongea na mwendawazimu na sijui😂🤣
Ndio pale mwanzo nikamwambia nomination ya BET inategemea na management yako iko vipi50 c, Luda, Papoose nk nk, wote hao hawakuwa nominated, wataka kusema ni watupu? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pale BET siasa tupu, ndo maana mlipoanza kumtilia fitina Mondi kisa ni rafiki wa serikali etc, akaambulia patupu.
Noma[emoji1787][emoji1787]Eti rapper rapper[emoji1787]
Mkuu, hii Globe Master 3, utaipost mara ka zote, tumeiona. Vipi, hamjazoea kuona madude ka hayo? 😂 😂 😂 😂
Jamaa wanashobokea mpka nyaya za umeme nkm katika definition (SGR) kuna kitu km nguzo na nyaya za umeme