The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Hao alshabab ni wanaume kwenu cc kwetu warembo tu hao waulize wakuambie tulichowafanya Kibiti.
Hao alshabab ni wanaume kwenu cc kwetu warembo tu hao waulize wakuambie tulichowafanya Kibiti.
Lakini uliwakanya wakawa wakaidi, endelea kupost hizi picha tamu sana




Sisi tayari tunavyo, na ukisikia U/C ya stadium Tz ujue ni ya ku break the history Mana Magu alishatuonesha tunaweza.Stadiums under construction in various counties in Kenya.
Kirigiti Stadium, Kiambu county.
View attachment 1835566View attachment 1835569
It's called a glorified fishing village my brotherOnly CBD looks better, na sio yote, sehemu ndogo sana looks modern, an area less than 10% of the whole sq km! ukibeba vijijini ndani ya kichwa kisha uje umwage mjini., inakua kijiji kubwa, yaani mashambani mjini..,
Dogo mimi natambua hawa., nawakubali watoto wa Congo, kiboko cha TPDF..,Hao alshabab ni wanaume kwenu cc kwetu warembo tu hao waulize wakuambie tulichowafanya Kibiti.
Last time I checked, this child soldiers were practicing cannibalism, during those endless skirmishes in their countries. No wonder our neighbors, have a taste for kitiwatu, that habit was copied from them gangster soldiers! 🤣 🤣 🤣Congo boys rocking 😂 😂 😂
View attachment 1835734
Kusanya picha zote ukimaliza nistue tuanze battle weka niweke.
😂 😂 😂 😂 😂 ni mzungu alienda akajionea aka ipa Dar hiyo jina., "a fishing village" kwa sababu ya ukubwa wa makazi ya kishamba, kila kona..,It's called a glorified fishing village my brother
Hii kama ni kweli hilo sio kesho yaani battalion nzima inaweza kuuwawa kirahisi hivyo?



Kuna baadhi ya Wakenya humu bado wanatetea Marekani kwa kitendo hichi cha kusema Shabab sio gaidi. Hawa Wakenya uzalendo wao uko wapi? Ama pengine wanadhani wazungu wako always right Waafrika wako always wrong which is a sign of inferiority complex on their part. Wakenya wanastahili kujua America ni mashetani wakubwa. Ndio maana nilishangaa Mkenya fulani mjinga akisherehekea kuwa Marekani wanapanua kambi yao ya kijeshi hapa Kenya. Ninarudia ningekuwa rais wa Kenya ningewafurusha Kenya. Waende w*tombane na Al shabab huko. Hamna haja ya majeshi ya Marekani kupiga kambi Kenya eti wanapigana na ugaidi ilhali wanasema eti hakuna ugaidi Somalia. Kwani wanapigana na nini, upepo?
Vitu unapost hapa sio viwanja. Zile zizi za ng'ombe. Viwanja tunapost nyingi ziko na wall na roof all-round. Zako watu hunyeshewa na kuchomwa na juaSisi tayari tunavyo, na ukisikia U/C ya stadium Tz ujue ni ya ku break the history Mana Magu alishatuonesha tunaweza.
So unaona kama imeshinda Dar is slum kwa umbali sana.
Hakuna Alshabab huko, ni wavuta bhage mbichi wanajidai alshabab ila hawana hata panda! 🤣 🤣 🤣Hao alshabab ni wanaume kwenu cc kwetu warembo tu hao waulize wakuambie tulichowafanya Kibiti.
Dah inatisha sana.
Hamna pesa za kujenga viwanja nyinyi🤣🤣😂🤣,Sisi tayari tunavyo, na ukisikia U/C ya stadium Tz ujue ni ya ku break the history Mana Magu alishatuonesha tunaweza.
Na nmemuomba aendelee kuweka ukweli hapa mana aliwakanya wakabishaHawa huwa inatakiwa uende nao hivo.
Wakija kwa matusi unaenda nao kwa matusi pro.
Wakija kutroll na wewe unaenda kwa kutroll.
Wakija kwa kejeli na wewe unaenda nao kwa kejeli.
Venus Star yupo sahihi.


