The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,996
Sisi mpira hatujui ila pesa tunayo na ndiyo maana tuna viwanja vingi vzr na ligi yenye mvuto ambayo inasaidia kuleta wataalamu kutufunza mpira zen tukawa untouchable.Ubaya hamfiki pahali, ndio maana licha ya kuwa mpira sio sana KE, bado tukawatia ndole kule Misri, all thanks to our Eng. Olunga... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Magoli hayabadilishwi, ila tunawatibu vichaa kwa kuwapa daawa ya facts! π€£ π€£ π€£ π€£ π π πUsije kusema hapo cameroon tu,maana kubadilisha goli kawaida yenu
View attachment 1835427
View attachment 1835428
View attachment 1835429
View attachment 1835430
View attachment 1835431
and please note tht slums in nairobi are confined in well defined designated places. the rest are either middle or high income estate settlements, (middle income house setting taking about 80% of nairobi residency)Usije kusema hapo cameroon tu,maana kubadilisha goli kawaida yenu
View attachment 1835427
View attachment 1835428
View attachment 1835429
View attachment 1835430
View attachment 1835431
Nyie kumbe mnakalia simiti pia, na utawaona wakibobokwa hapa eti viwanja vyetu vingine havina viti, duh, kweli nyani haoni kund.... ππΎββοΈπ π πJamhuri Stadium, Dodoma [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1835434View attachment 1835435
Twende kwa utaratibu unaofaa na co kwa style hii ya kuharibu mjadala, km unataka military unasema zen tunaenda kwenye military na sio hovyo hovyo tu unapost picha moja unajitangazia ushindi.
Hiyo pesa hatuna haja nayo, as long as we are still breaking world records, hizo ndio pesa taamu sasa. Dunia nzima inajua hilo, upende usipende. Endeleeni kuwajengea vilaza viwanja, sisi tunaandika historia ya dunia isiyofutika kila kukicha! βοΈ πππSisi mpira hatujui ila pesa tunayo na ndiyo maana tuna viwanja vingi vzr na ligi yenye mvuto ambayo inasaidia kuleta wataalamu kutufunza mpira zen tukawa untouchable.
Usilie wewe kidume! π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Twende kwa utaratibu unaofaa na co kwa style hii ya kuharibu mjadala, km unataka military unasema zen tunaenda kwenye military na sio hovyo hovyo tu unapost picha moja unajitangazia ushindi.
Wakenya ni waoga sana tukipanga tuweke battle ya kitu fulani wakishindwa wanaofuatana PM wanaambiana waharibu battle, so anatumwa mtu ku change mada, km hapa huyu jamaa katumwa aje kuharibu battle ya stadiums, tukienda kwenye battle ya military wakishindwa anatumwa mtu aweke kitu tofauti, huo ni ujinga na uoga.
So mmekubali kwamba kwenye battle ya stadiums msiguse au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hiyo pesa hatuna haja nayo, as long as we are still breaking world records, hizo ndio pesa taamu sasa. Dunia nzima inajua hilo, upende usipende. Endeleeni kuwajengea vilaza viwanja, sisi tunaandika historia ya dunia isiyofutika kila kukicha! [emoji3577] [emoji23][emoji23][emoji23]
World record holders/breakers... "say whaaaat???" π°πͺπ₯πππππππSo mmekubali kwamba kwenye battle ya stadiums msiguse au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Lkn bado usafiri wao ni punda [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa mkenyawacha upumbavu! Hamna kitu kinajengwa!
Talk about ridin in style... π π π(photo moto)Lkn bado usafiri wao ni punda [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1835466
Gusii stadium, kisii.Nyamagana, Mwanza [emoji116][emoji116]View attachment 1835409View attachment 1835410
Ungewatuma kwangu nije niwape room, waache ufala kazini. Pathetic! π€£ π€£ π€£ #TzTrafficPoliceLkn bado usafiri wao ni punda [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1835466