Twende kwa utaratibu unaofaa na co kwa style hii ya kuharibu mjadala, km unataka military unasema zen tunaenda kwenye military na sio hovyo hovyo tu unapost picha moja unajitangazia ushindi.
Wakenya ni waoga sana tukipanga tuweke battle ya kitu fulani wakishindwa wanaofuatana PM wanaambiana waharibu battle, so anatumwa mtu ku change mada, km hapa huyu jamaa katumwa aje kuharibu battle ya stadiums, tukienda kwenye battle ya military wakishindwa anatumwa mtu aweke kitu tofauti, huo ni ujinga na uoga.