The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Kulikuwa na ulazima gani kuchimba shimo kama eneo tambarare [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii interchange ya Mombasa ingekua in Dar, hapa hapangekalika, tungeletewa angles zote., from start of construction [emoji23] [emoji23] ., na za Eldoret ongoing construction sizioni humu, walai ingekua ni Tz, matako ya masikini yangekua yanalia mbwata humu.,
the tunnels are coming out nicely., traffic jam along this route will be over!
View attachment 1834398
Lakini Danganyikans mnakuanga na tabia za ******* sana.🤣🤣
Mkuu sema uko kmy sana aisee.Tangu 2017 mapambano yanasonga mbele. Nimebanwa na kazi. But kuna project ninazisimamia nitawatumia picha.
KAZI IENDELEE
Kabadili jina tu, id ile ile, ukimquote annael anakuja emc2.Umebadili na id kaka!uwe unapita mara moja moja humu [emoji3]
Huoni hata aibu we jamaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Very ugly city, jiji lina muonekano wa kuchoka choka hivi.., angalia public transport😳, Mwanza second City.., aibu kwa taifa[emoji23][emoji23]
View attachment 1834455
Nairobi ndo ya kwanza kwa standard za kenya au sio? Ss mbn Nairobi ni mji wa kale sana, hauna BRT, hauna electric sgr, hauna maji, una slums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nairobi mombasa and kisumu dont forget
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha uchawi basi.... Itajengwa upende usipende! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji116]
View attachment 1834481
Sawa dada komora.Hii ni movie ya Bongo, nishawahi kuiona! [emoji382] [emoji382] [emoji382] Wabongo wamejaza thread za kichawi balaa, mikasa ya kutisha, mabwenyeye wenyu naskia ndio vigogo wa kuruka kwa uteo. Yaani mnaishi vipi nyie, hamtakiani mema hadi mwarogana wenyewe kwa wenyewe, mbaya zaidi mkafanya Mondi wenyu asipewe award kule States, kisa kumchochea! Nyie wachawi bhana, hata muende wapi, Tz + Nigeria = Horror Film(Hollywood blockbuster) [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wazee wa ugali, yani kdf wao ni kula tu vita hawajui, jeshi la ******* zaidi duniani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawaamini tulipiga bonge la Mission, kuanzia baharini, angani hadi nchi kavu. Kulipokucha tyu, tayari Kismayo wakenya wanachoma nyama kwa ugali! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 1834574
Hapo wanasherehekea kuwafurusha wale majamaa waliowachinga kule mtwara katika ngome yao..Wazee wa ugali, yani kdf wao ni kula tu vita hawajui, jeshi la ******* zaidi duniani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
RIP MFUGALE[emoji17][emoji17]
Kenya ni Mavi[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂 Hiyo Mwanza aliyopost hapo sijui ilikua ni ya mwaka gani, mana Mimi Nina mwaka wa tatu sasa tangu nimekuja Mwanza Ila hilo eneo (Samaki round about) si stendi ya daladalaHuoni hata aibu we jamaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hapo c kategesha foto tu kwani hujui jeshi lenu ni wazee wa maonyesho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kdf wanajali bana, hapo ingelikua wale wazee wa typhoid ingelikua saizi wameshambaka kitamboView attachment 1834756View attachment 1834757
Siku hizi umeishiwa na tumaini Sana, you lack the bravery to defend Dar is slum against Nairobi. Here are some facts.Nairobi ndo ya kwanza kwa standard za kenya au sio? Ss mbn Nairobi ni mji wa kale sana, hauna BRT, hauna electric sgr, hauna maji, una slums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaijua Arusha lakini.?Whaat, eti nini mzee? 😂 😂 😂 😂 😂 , kumbe unajua Kenya through porojo., umeona hakuna mji kama Nax Vegaz nje ya Dar, unashangaa shangaa😂😂😂
Kazi yako siku hizi ni kelele tu, you have no weight against Kenya😂😂. Naona umeshikwa na baridi ya Mombasa which passed Dar is slum long time ago when it comes to development. Wakati mnajenga interchange moja after ten years, Kenya is doing ten in one year alone.Kulikuwa na ulazima gani kuchimba shimo kama eneo tambarare [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Btw naona jua kali type of infrastructure, road haiko marked imechoka na imepauka kweli kweli, kwnn hamnaga standard roads [emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji86][emoji86][emoji205][emoji205][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji2781][emoji706]
This place looks familiar. Hapa si ni around Bellevue na Akiba?