Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii mbn hukuitolea ufafanuzi, si ipo Kenya au?

[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji90][emoji205][emoji86][emoji87][emoji1664][emoji117][emoji3517][emoji116]
 
Hamna interchanges/flyovers kama hizo nnakuru ndo maana huwezi leta picha nyingine!
Sasa ukilia hivi,itakuwaje wakati Nairobi,Mau sammit expressway ikijengwa next year 😁😁hii expressway itapitia Nakuru town in form of a Viaduct Kama hii ya Nairobi expressway 😍👏,anza kuandika suicidal note,huna lingine😂😂
 
[emoji23] tukiwaambia outside dar hamna mji tanzania unaweza kucompete na Nakuru wanabisha
 
Hamna interchanges/flyovers kama hizo nnakuru ndo maana huwezi leta picha nyingine!
Whaat, eti nini mzee? 😂 😂 😂 😂 😂 , kumbe unajua Kenya through porojo., umeona hakuna mji kama Nax Vegaz nje ya Dar, unashangaa shangaa😂😂😂
 
Wakati dar ikisubiri msaada wa japan, mombasa yazidi kunawiri.View attachment 1834201View attachment 1834203
Hii interchange ya Mombasa ingekua in Dar, hapa hapangekalika, tungeletewa angles zote., from start of construction 😂 😂 ., na za Eldoret ongoing construction sizioni humu, walai ingekua ni Tz, matako ya masikini yangekua yanalia mbwata humu.,
the tunnels are coming out nicely., traffic jam along this route will be over!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…