Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo graphs za kutoka kwenye excel kaa nazo wewe kwenye computer yako. Hii hapa ni real situation.
View attachment 1832761View attachment 1832762View attachment 1832763
Malnutrition makes the immune system less resistant to common diseases and contributes to about 130 child deaths of children every day in Tanzania.
Tanzania: children malnutrition 2021 | Statista
As of April 2021, 31.8 percent of children under five years suffered from chronic malnutrition in Tanzania.


 
Yanga kama Yanga, matusi yetu soon kule Kigamboni [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hazitumii diesel.hii dunia inatakiwa kwenda kutumia nishati rafiki Kwa mazingira.mambo ya diesel ishapitwa na wakati.huwezi kuona nchi inajenga treni za diesel Karne hii ukiacha corrupted countries kama Kenya.
Kama ughaibuni wana za diesel , tena kali, wewe ulitoa wapi ushamba ati diesel hakuna ni corrupted countries zinapatikana? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
If reports say so why would I denie???? It's being a sour loser
Alidhani utakataa, aanzishe thread na wewe! 🀣 🀣 🀣 Hajui DRC kuna vita toka kitambo, so lazma consumption yao ya military hardware iwe juu kutuliko! 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…