Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huyu balozi pamoja na embassy yetu yote huko China wanajitahid sana katika mambo mengi
Katika mabalozi ninaowakubali kazi zao ni huyu wa China na yule mwingine wa Uarabuni kule.

Sijui kwanini mabalozi wengine hawaigi mfano wa hawa.

Wanajitahidi sana.
 
Hizo unapiga risasi moja tu upepo kwisha kazi kama mapulizo tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi hata zenyu zinakula risasi tu ikiingia kingi... Wacha mpewe mafunzo na wazungu kwanza, wale ambao hamuwazimii! 🀣 🀣 🀣 🀣
TZ Navylala πŸ‘‡
 
Colonial design. Do you know the modern design!?

Check
GSM Mall Msasani Dar es salaam
View attachment 1830401

View attachment 1830403

View attachment 1830405
Bado uko Dar tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , unatia huruma..,
Group ya akina mama Nakuru pia wamejenga mall yao kwa kukusanya pesa kwa pamoja., (women's group).,
Nax vegaz, angalia design.., na sio nairobi, wewe umekomaa tu Dar.., akina mama zenyu wanafanya nini? ama ni udaku na masengenyo mitaani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
KENYA WOMEN HOLDING MALL, NAKURU.

 
Mzee nimekwambia ondoa mitumbwi. Mambo ya kikubwa unaleta mitumbwi. 🀣 🀣🀺🀺
TPDF ya moto sana

View attachment 1830418

View attachment 1830419
View attachment 1830421

View attachment 1830422
Mitumbwi si ni yenyu, unawaruka vijana wenyu wa TPDF sababu wamepanda crafts? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Navy wana vitambi, dadeq 😁😁😁

Hao Waamerika hata huwa wanacheka wenyewe tu, kuwaona mlivyo jaa jaa! 🀣
 
Hiyo nayo mall!? 🀣🀣🀣
Inazidiwa na soko la Dugai Dodoma
You are not serious


 
Ile stand yao ya buses, waliiba design hapa, yaani wanaiba watoto, sahi wanaibia kina mama? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hiyo nayo mall!? 🀣🀣🀣
Inazidiwa na soko la Dugai Dodoma
You are not serious

View attachment 1830424
View attachment 1830425
utadhani muskiti kumbe soko? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ,
wacha niziweke pamoja, mwenye macho haambiwi tazama., Kiswahili kando, picha zinajieleza vizuri sana.., mall hakuna nje ya DarπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


V/S


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…