Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kirubi alone alikua anamiliki 40b estate inamaana alikua amewapangisha wakenya wangap hapo 🤣🤣🤣🤣 ukiwaambia ndoto ya plot na nyumba watasubiri dunia iunbwe tena wanaanza kunya povu
Nicxie
 
😂😂😂 We mpuuzi sio swara ni Swala chukua hilo neno gazelle libadilishe kwenda kiswahili utapata kitu kama hiki hapa 👇.. .. hakuna neno Swara kwenye lugha ya kiswahili we mwehu .. usibashane na Mimi kabisa kuhusu kiswahili, haujui chochote nimekwambia .. Alaf hii mikunya inashida gani.? hiv kweli we mwehu ubishane na mimi ambae kiswahili ni lugha yangu ya taifa .? MAAJABU YA MWAKA HAYA.. Nakwambia tena ukijiona unajua kiswahili nyoosha kidole jifanye kama unajikuna nikuulize maswali.. mbona rahisi tu we kocho
 
Achana nalo hilo. Ujinge umejaa kichwani. Wakenya asilimia kubwa wapo hivyo.
 
Eti watu[emoji1787][emoji1787]
Nenda kafute hyo bendera yenu hapo kw translate uweke somali..

Tatizo R na L ziliwachanganya mpka mkaamua kuamini km wanaitwa hvo..pole sana mzee
 
Kwn mzee, hii bado ni ile ile project moja ya kuelekea mpka mariakani kabisa..
Hii barabara ni noma sana, kuanzia 2019 jamaa walikua wanaichimba mpka leo kazi inaendelea tu..kwn tatizo nini manake kw maoni yangu wako slow
Ndio wako slow lakini kazi pia nikubwa sana. Hio barabara inachallenges nyingi sana hasa ya landscaping. Mfano hapo mikindani interchange walichimba mpaka sijui metre ngapi alafu wakafunga machuma mpaka juu. Sasa imagine kila baada ya metre chache kazi ni hii so lazima ichelewe.
 
alafu na shangaa sana na hii tzdi, yani tu Ubungu interchange moja tu!. ndo watakua wakibweka nayo kila leo... kwani kenya tuna ngapi, ata kando tu na nairobi
Ubungo ndio three level interchange so far ni lazma ushangae sio ombi 😀😀😀 munayo ngapi hebu tafuta three level ukipata nitag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…