Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwa uelewa na experience niliyonayo ya kutuma na kupokea hela kutoka nΓ©e ya nchi.. hizo banks hazina hizo huduma.. hata mim natumia moneygram.. kupitia equity au kcb au DTB.. bank za kibongo kubwa hazitaki hizo biashara
Mweleze hebu! 🀣 🀣 🀣 Wacha money gram na Western Union, kitu cha mpesa nimekitumia sana nikiwa pilka pilka zangu. Alafu anakuja kukinukisha hapa eti Equity, hadi Safaricom wanavuka border. Hiyo Tigo yafanya huko nje? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
tuna walola. i told you kenya kandamizas you guyz in each and every aspect na bado hamskii. of the top 20 slots in eastern and central africa bank ranking 2020, kenya takes 10slots!. thts a half! (we have 5kenyan banks fully operational in tz, ug, rw, bu, ss;- kcb, equity, fina, stanbic, dtb)
aliye na nguvu mpishe..
hope ichoboy mwanaume kibintibinti mwaarabu amesikia
 
tangu walipozindua international bus stand . hadi Leo siamini chochote wanachosema kuhusu Kunya land . maana mnapenda sifa zisizo na sababu . mara super highway , ultra morden, international , Chinese first standard . ukiangalia physical ushuzi tu
Huko kwenyu je? Mara Mwendokasi, bullet trains, Chato international, hehehe, huzioni sifa zenyu za kujamba Jamba? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
tangu walipozindua international bus stand . hadi Leo siamini chochote wanachosema kuhusu Kunya land . maana mnapenda sifa zisizo na sababu . mara super highway , ultra morden, international , Chinese first standard . ukiangalia physical ushuzi tu
kwako hii ni ushuzi.!?. nuguπŸ’
 
IRAN & IRAQ ziliwapa nn Tanzania.. mbona hela ndefu sana... Angola?

Most certainly ni Mafuta :.na itakuwa mostly kipind cha miaka ya nyuma labda kuanzia kipindi cha Vita kile na Uganda ambapo mafuta yalihitajika sana
 

You have no idea of kind of toll/ticketing facilities Tanzania BRT use. There are machines for tickets dispensing and accessing points every in every bus stand.
 
i can say tanzania is at its infancy, as much as matters 'real estates' is concern.
kenya we are giants in this things (magwiji ndo manaake). infact in the continent!
if u dont believe me,.. just google it please......
You lead the world not only Africa

 
Luxury domo kunyata airstrip terminal shuttles aren't quite different from normal Nairobi slums Fusoz, hii nchi hata naona aibu kuwaita majirani 🀣🀣🀣

Saivi naona wanajenga tiny brt shacks kama wendawazimu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Ameumia huyu, utazoea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…