Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli pesa ndio kila kitu, watu wenye wanafaa waozee selo ndio wanawachiliwa after serving 4 years, sahi mwizi wa kuku, anarambishwa miaka 10 au zaidi! Fckng Africa! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Tumeomba morocco ww inakuhusu nn kama kajileta mwenyewe unajua kaja kuomba nn na yeye??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wivu unawasumbua au
Aibu kubwa sana kuomba kujengewa stadium na msikiti na nchi kama morroco, inasikitisha sana, ndo maana watu weusi tunadharauliwa.
 
Ni sawa tu sasa unabisha nini..!??..kuna picha hapo umeposti za bus zipo kama za bongo tu
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Wewe kanywe chai kwanza!!! Ulaya bado, Bongo bahati mbaya kama kawa! 🀣
 
Aibu kubwa sana kuomba kujengewa stadium na msikiti na nchi kama morroco, inasikitisha sana, ndo maana watu weusi tunadharauliwa.
Wameshindwa kuchangisha wenyewe hao waumini wajenge wenyewe hadi msaada kutoka nje? πŸ˜‚
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ europe ya africa hii hapa
Hii ndio eurpoe ya africa πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Aibu kubwa sana kuomba kujengewa stadium na msikiti na nchi kama morroco, inasikitisha sana, ndo maana watu weusi tunadharauliwa.
Kwann alikuja tanznaia na sio kenya ushawah jiuliza hilo swali ??? 🀣🀣🀣
 
It seems chai kwako issue sana,unaitajataja sasa hivi saa 7 mchana chai gani!?.huu muda wa lunch dogo??..narudia tena kuna bus ume-upload hapo juu ni kama za bongo tu..wivu hautakusaidia
 
Kwann alikuja tanznaia na sio kenya ushawah jiuliza hilo swali ??? 🀣🀣🀣
Sababu Kenya hiyo misikiti, waumini wanajenga wenyewe, tunajiweza level zingine mkuu, sio kuleteana aibu EA bhana! 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Sababu Kenya hiyo misikiti, waumini wanajenga wenyewe, tunajiweza level zingine mkuu, sio kuleteana aibu EA bhana! 🀣 🀣 🀣 🀣
🀣🀣🀣🀣🀣 ungejua kilichomleta tanzania hata usingefungua kipapatio chako kaulize aliempigia debe mpaka kurudishwa kwenye AU ni nani?? Alaf uje tuongee hapa
 
It seems chai kwako issue sana,unaitajataja sasa hivi saa 7 mchana chai gani!?.huu muda wa lunch dogo??..narudia tena kuna bus ume-upload hapo juu ni kama za bongo tu..wivu hautakusaidia
Ata Mimi nimeona... πŸ™†πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€”πŸ€§πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬Acha kujamba jamba mkuu, staki ushuzi hapa mkulungwa... Ati za Bongo, hivi wewe uko sawa, inakaa jua limekuchoma sana hadi medulla imeanza kuyeyuka humo ndani! 😬😬😬
Bongo kama lala...

Mamtoni sasa...

Hzi hutaki kwani???πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
🀣🀣🀣🀣🀣 ungejua kilichomleta tanzania hata usingefungua kipapatio chako kaulize aliempigia debe mpaka kurudishwa kwenye AU ni nani?? Alaf uje tuongee hapa
Tunawajua nyie wabana pua, mnajilegeza mbele ya waume ili waingie kingi yenyu. Hamna wasi, mtajengewa vya bure tu! 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…