[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si tulikubaliana probox tanzania zitakua zinabeba majani na mavi ya ngombe, sasa vipi tena manake naona jamaa kaenda nayo mtoko sehemu ya hadhi kidogoView attachment 1818580
Ndio nashangaa mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo mengine kuacha yapite sema hizi gari tz ni za kutafuta sanaNdio nashangaa mzee
hii picha ya treni nyuma kwenye uwekaji jiwe ka msingi Mwanza-Isaka inaashiria nn? ni downloaded pic au ndo tutarajie kama hii?
View attachment 1818563
ya fundi hiyo , technician ๐ ina tools, angalia ngazi juu.Si tulikubaliana probox tanzania zitakua zinabeba majani na mavi ya ngombe, sasa vipi tena manake naona jamaa kaenda nayo mtoko sehemu ya hadhi kidogoView attachment 1818580
Hyo si ngazi mzee[emoji1787][emoji1787]we utajifundisha mimi kuhusu probox..hyo ni urembo kaweka mzeeya fundi hiyo , technician ๐ ina tools, angalia ngazi juu.
Mi sina tatizo na mtu kumiliki hzo gari, lkn kuna vibwengo wengine wanasema hko ni za kubebea mavi ya ngombe[emoji1787][emoji1787]Mambo mengine kuacha yapite sema hizi gari tz ni za kutafuta sana
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Huyo atakua mange anafanya delivery kidogo usijichanganye๐คฃ๐คฃ๐คฃSi tulikubaliana probox tanzania zitakua zinabeba majani na mavi ya ngombe, sasa vipi tena manake naona jamaa kaenda nayo mtoko sehemu ya hadhi kidogoView attachment 1818580
Moja wapo za project ambazo ni important Sana Tanzania ni hapa๐๐๐๐ good things take time Nina Imani it will be a successMwanza - Isaka pia ni Fedha za ndani, mnaona kwenye bango kuna BAKHRESA GROUP hapo kushoto ? sio katoa mtonyo au?
View attachment 1818613
Poleeni kwa msiba ndo njia ya kila mtu.RIP,,and shine in your way
https://www.facebook.com/
Ben mwanantala sijui yupo wapi Siku hiziMwanza isaka SGR๐๐๐๐
RIP,,and shine on your way
https://www.facebook.com/