Bwahaha!!we mpuuzi sana kumbe, habari inasema 50MWpole sana.. sisi sio matahira kama nyie.. ni 150 MW.. mwanzo walitangaza tender za kujenga 20 MW-50 MW kwa mikoa sita.. ila hio sign inajumuisha total ya 150 MW (awamu ya kwanza ni 50 na pili ni 100)
Kwn nyie ndio hamna budget supportsi budget support!
Hata cooking gas pia!kumbe hata cooking oil huko kunya land imekua issue. pure failed state Cooking oil now a luxury for broke, struggling Kenyans
Nothing like that in Addis you idiot.., 😂 😂 😂 punguza maumivu..,just a picture of somewhat what to expect., may not be exactly, but is a complex three level interchange in Mombasa, apart from other flyovers already up and running.., Tanzania je? ni Dar tu.
its still under construction. hii tu ni render/artistic impression wee kilaza nini..Daraja hilo lipo sehemu gani Mombasa? When was it constructed?
Coz last time I checked, the biggest project in Mombasa was Makupa project.
Construction of US $42m new Makupa Bridge in Mombasa, Kenya begins
The Kenya National Highways Authority (Kenha) has begun construction of the US $42.1m, 457m long new Makupa bridge in Mombasa.constructionreviewonline.com
Anataka kukubandikiza maneno yasiokuwepo? 😂 😂 😂its still under construction. hii tu ni render/artistic impression wee kilaza nini..
its still under construction. hii tu ni render/artistic impression wee kilaza nini..
Eti uswazi kuna maghorofa! 😂 😂 😂 Hiyo ni uswazi gani ya Dar ambapo maghorofa yanapatikana? Hebu leta aerial photos za hizo mitaa za uswazi zenye maghorofa tuone hapaAliesema nani uswazi yenyewe kuna nyumba za heshima na magorofa 🤣🤣🤣 ni slum gani ya nairobi utakuta nyumba nzuri ya block wapi??
Wewe mwarabu unadhani ni lazima mtu aajiriwe ndio aishi? Mbona hujiulizi licha ya hayo yote Kenya iko na middle-class wengi kushinda Tanzania?🤣🤣🤣🤣🤣 yani wanazaliana kama kuku na ajira hakuna 40%
ndio hii hapa nugu hiiSawa iko eneo gani ndani ya Mombasa?
Correction, mombasa road expansion.
This road will be[emoji7][emoji7]Longest dual carriageway in EA, sasa imefika river sagana.View attachment 1816234View attachment 1816235
Wewe kila siku nasemanga ni wa kupuuzwa tu. Hauna kipya, ni ujinga tu umejaza kwenye hiyo kichwa chako. Ni wapi nimetaja GDP kwenye comment yangu? Yani badala ya kujibu hoja unakimbilia mambo ambayo hayazungumziwi. Kijana wa Tandale, I know how painful it is but sisi kipimo chetu cha umasikini ni chini ya $3 kwa siku. Nyinyi nchi masikini kipimo chenu ni chini ya $1 kwa siku. Hiyo ndio hoja unafaa kujibu, sio kupayukaHio GDP yenye madeni 86% inafaida gani?🤣 ikiwa leo zimbabwe ina nafuu zaidi kuliko nyinyi hio GDP ina faida gani ushuzi wa nguruwe 😁😁😁 kenya ni failed state na haya yamedhihirika kipindi cha mlevi kwamba nyinyi mumefeli na hili haliitaji ramli hata dakika moja
tulitegemea mumeingia MLDC 2014 labda mutakua mbali sana kumbe maskini munarudi nyuma kwa nguvu sawa na umeme😂