Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hesabu za haraka haraka
40% * 52 million people= 20.8 million people

Kati ya 28 million (Tanzania's figures) na 20.8 million gani nyingi?
Yani zimbabwe ina nafuu kuliko kenya 🀣🀣 yani leo munafananishwa na zimbabawe sasa ile GDP ina kazi gani ???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
By the way has these lazy bones asked themselves what percentage of their budget is going to be financed by internal revenue collections before poking their noses on Kenyan affairs? Their revenue collection is a half of Kenya's and that one alone won't even be enough to finance their budget without external borrowings and they are here busy lecturing us!
 
Sasa umeona uje kutapika ushuzi hapa 🀣🀣 hvi kati ya kenya na tanzania nani ameanza kuingia MLDC, tanzania imeingia 2019 wakat kenya imeingia 2014

tulitegemea kuiona kenya iko mbali zaidi lakini maskini ya Mungu leo hii zimbabawe ina nafuu kuliko kenya according to world bank, hvi ukitumia akili ya kuzaliwa kati ya tanzania na kenya nani anarudi nyuma badala ya kwenda mbele???πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

faida ya GDP iliojaa madeni 86% iko wapi??? Faida ya budget kubwa alaf 85% watu wanakula nyingine madeni kulipa iko wapi??

mkiambiwa ukweli munakasirika munaanza kutoa maneno ya kanga humu ndaniπŸ˜‚πŸ˜‚

vumilia tu utazoeaπŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Nchi imejinyea tayari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
wao ni below$1., hao 20.8 million wa Kenya ni those living below $3.., masikini wa Kenya sio wa Tanzania., jamaa anapenda kujipiga risasi kwa mguu, wenzake wenye akili wanakwepa such data., yeye anakurupuka bila kufikiriaπŸ˜‚πŸ˜‚
That's the pount these lazy bones haven't been able to understand. Sisi tunapimwa kwa kiwango cha less than $3 a day na ndio tunapatikana tuko 20.8m. Wao kipimo kinachotumika kwao ni ile ya less than $1 a day na ndio wanapatikana 28m people. Wajiulize hali ingekuwaje kama kipimo cha $3 ingetumika kwao kama ilivyotumika kwetu. Ufukara wa hali ya juu!
 
Hasira haisaidii budaaπŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Hio GDP yenye madeni 86% inafaida gani?🀣 ikiwa leo zimbabwe ina nafuu zaidi kuliko nyinyi hio GDP ina faida gani ushuzi wa nguruwe 😁😁😁 kenya ni failed state na haya yamedhihirika kipindi cha mlevi kwamba nyinyi mumefeli na hili haliitaji ramli hata dakika moja

tulitegemea mumeingia MLDC 2014 labda mutakua mbali sana kumbe maskini munarudi nyuma kwa nguvu sawa na umemeπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…