Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehehee CCM ijiandae tena kutuma wapatanishi 2022.
 
You are a failed republic. And your sitting president has just been killed by a disease he denied existed.

That only happens in a failed state. [emoji23]
 
We punguani we si ulijifanya ni mtanzania wewe wakati fulani 😂😂😂 kumbe ni tahira lakikunya .. pole sana
 
Baada ya kuona Tz ina lugha yake ya taifa iliyoanzishwa na Watz na nyinyi mnataka muanzishe lugha yenu leo, sasa mbn lugha yenyewe ni ya kihuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kiswahili ilanzishwa na TZ😆 yani,Umetoa wapi hiyo🙉🤣🤣🤣🤣🤣
 
Baada ya kuona Tz ina lugha yake ya taifa iliyoanzishwa na Watz na nyinyi mnataka muanzishe lugha yenu leo, sasa mbn lugha yenyewe ni ya kihuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu iyo Lugha ambayo unasema Ni ya kihuni Ni ya kuwachanganisha mabongolala,na Ni Lugha Kama ingine yeyote
 
Kwahiyo kilianzishwa wapi Kenya au? Mbn hamjui kukiongea sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kilianzishwa Kenyan Coast Ndio maana tunawaitanga waswahili,Ata Kama naongea kiswahili Mimi sio mswahili kwahivyo naweza kukichanganisha mpaka na Lugha yangu ya mama,Nyinyi Watz mliamua muwe waswahili wote🙉Maajabu😆
 
Only failed state can take that foolish decision, yn kukopa mabilioni ya dollar ili ku finance budget ambayo pesa yote inaenda mfukoni mwa Kenyatta na genge lake, but u poor kenyans will still experience problem zile zile za ukosefu wa maji, ajira, chakula, makazi bora, huduma mbovu za afya, magonjwa ya mlipuko etc.
 
Kilianzishwa Kenyan Coast Ndio maana tunawaitanga waswahili,Ata Kama naongea kiswahili Mimi sio mswahili kwahivyo naweza kukichanganisha mpaka na Lugha yangu ya mama,Nyinyi Watz mliamua muwe waswahili wote[emoji86]Maajabu[emoji38]
Haya leta evidence hapa ili niondoke jamii forums.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…