Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Class 5 anakutoa kijasho mkulungwa! π€£ π€£ π€£ π€£Ona sasa nn unaongea wewe πππ
Tajiri Sina Ubayaπ€π©π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ google earth ya mzungu haikuona ile mkenya kavumbua
Tulikitia Royco, tukakifanya kiwe 'Sheng'π¬Mbona hamujui kuongea kiswahili sasaπ€£π€£
Nani kasema hatujui, leta data.Mbona hamujui kuongea kiswahili sasaπ€£π€£
Pwahahaha! π€£π€£π€£π€£π€£ππππ
View attachment 1814173View attachment 1814174View attachment 1814176
Eti wanathani hatujui kuongea kiswahili na ata Watanzania wengi hawajui kukiandika kwa kitabuππ€£π€£π€£π€£Tulikitia Royco, tukafanya kiwe 'Sheng'π¬
Mm lugha yangu ni kiswahili ndio maana kabudi aliwanyooshea kiswahili mukwa munashangilia π€£π€£ππClass 5 anakutoa kijasho mkulungwa! π€£ π€£ π€£ π€£
sheng ndio kiswahili ?? πππ Lugha ya wahuni ndio kiswahiliTulikitia Royco, tukakifanya kiwe 'Sheng'π¬
oooooh MenπPwahahaha! π€£
View attachment 1814264
Class 5 anakutoa kijasho mkulungwa! π€£ π€£ π€£ π€£
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ mbona unawasi wasi sanaSawa Tajiri,NimetiiπIla usiwe ulipiga Picha Gari ya Neighbor π€£π€£π€£π€£
ni Ksh3.66Trillion Γ· 107= $34.2B!Mzee trilioni tatu za kenya ni sawa na $30B km sijakosea
Kitu kilichonishangaza, huwa wanachaguliwa course za kufanya na serikali kulingana na marks zako, like wtf! π€£ π€£ π€£Masomo balaa down south..,2021!!
Ummy: Kuna shule wanafunzi hawajawahi kumuona mwalimu wa hesabu, fizikia
THURSDAY JUNE 10 2021
Summary
ADVERTISEMENT
- Waziri wa Tamisemi, Ummy Mwalimu amesema bado kuna upungufu wa walimu wa somo la sayansi katika shule za sekondari nchini Tanzania.
By Mwandishi Wetu
More by this Author
Dar es Salaam. Waziri wa Tamisemi, Ummy Mwalimu amesema bado kuna upungufu wa walimu wa somo la sayansi katika shule za sekondari nchini Tanzania.
Amesema kwa uchambuzi uliofanywa unaonyesha kuna shule takribani 1000 za sekondari ambazo wanafunzi wake hajawahi kukutana uso kwa uso na mwalimu wa somo la Fizikia na kwamba shule takribani 400, wanafunzi hawajawahi kumuona mwalimu wa hesabu akiingia darasani.
Ummy ameyasema hayo leo Alhamisi Juni 10, 2020 alipokuwa akijibu swali la mbunge wa viti maalum (CCM), Hawa Mchafu kuhusu lini walimu wa sayansi watapelekwa katika Mkoa wa Pwani.
βTunakiri kuwa na uhaba wa walimu wa sayansi. Kwa uchambuzi uliofanywa ndani ya miezi mitatu unaonyesha takribani shule 1000 za sekondari ambazo wanafunzi wake hajawahi kukutana uso kwa uso na mwalimu wa somo la Fizikia. Shule zipatazo 400 ambazo hazijawahi kuona mwalimu wa hesabu akiingia darasani,β amesema Ummy.
Amebainisha kuwa ipo fursa ya kutumia (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) ili kuwawezesha kusoma kupitia mtandao.
βHili tumeliona ipo fursa ya kutumia maendeleo ya ICT ili kuwawezesha wanafunzi kusoma kupitia mtandao..., tutaajiri walimu wazuri na kurekodi mada zote kuwawezesha kusoma kwa njia ya mtandao,β amesema Ummy.
Aibu kubwa mnoMasomo balaa down south..,2021!!

Sheng is a twisted language version with 80%words from Kiswahili,5%English,15%From Other languages to form Sheng language.Yani Joh inanice mbaya,monchoka unitaje Nai Nikusho kiswa na kingoso Kama unadaisha,usiniletee Vako,Vako acha kejani kwa mafala.Monchokaπππ₯π₯π°πͺπ₯πsheng ndio kiswahili ?? πππ
Lakini mbona hivi?? it is not good for the children..,Aibu kubwa mno
Umemkoroga sasa! Umemwacha hadi na ngumi mbwexe... π¬π¬π¬πSheng is a twisted language version with 80%words from Kiswahili,5%English,15%From Other languages to form Sheng language.Yani Joh inanice mbaya,monchoka unitaje Nai Nikusho kiswa na kingoso Kama unadaisha,usiniletee Vako,Vako acha kejani kwa mafala.Monchokaπππ₯π₯π°πͺπ₯π
Kabisa,alafu sababu ya kutoajiri walimu ni ipi? Ukifuatilia hakunaLakini mbona hivi?? it is not good for the children..,