Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikwambiaga nyani haoni nini!... Wao hata wanasiasa wanawachapa kisawasawa, na sio tafadhali. Uliona ile video, mkuu hawa wajomba wanaonewa na serikali, itabidi tuwakomboe! 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Nioneshe mm mauzo ya mobius ukipata nitag mm 😁😁😁 au haina statement ya mauzo na profit

mkenya na probox ni kama kende na chupiπŸ˜…πŸ˜…
Ulitaka probox isiuzwe,ama hizo aina zingine pia? wewe kwani ni nani hapa KE??? πŸ˜‚ Huna say kwa pesa ya mtu binafsi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…