Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ekeni tu traffic lights, sisi ni floors tunapandisha! 😎🀣🀣🀣
Munapandisha floors sehemu hazina mahitaj alaf mkuambiwa debt to GDP ratio iko 86% munaanza kulia🀣🀣🀣 alaf mbaya zaidi mchina ndio mjenzi wa hzo matofali overpass na flyover anawagaragaza kwenye bei na quality mbovu
 
So intention yako ilikuwa nn.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Munapandisha floors sehemu hazina mahitaj alaf mkuambiwa debt to GDP ratio iko 86% munaanza kulia🀣🀣🀣 alaf mbaya zaidi mchina ndio mjenzi wa hzo matofali overpass na flyover anawagaragaza kwenye bei na quality mbovu
Huna business mind wewe, mtu apandishe floors bila kuwa na uhakika kwamba atapata faida ikiwa sehemu hiyo? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Wangekuwa na fikra ka zako wasingelijenga kamwe!
 
Huna business mind wewe, mtu apandishe floors bila kuwa na uhakika kwamba atapata faida ikiwa sehemu hiyo? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Wangekuwa na fikra ka zako wasingelijenga kamwe!
Kwani SGR hamkulijua mwanzo πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Huna business mind wewe, mtu apandishe floors bila kuwa na uhakika kwamba atapata faida ikiwa sehemu hiyo? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wangekuwa na fikra ka zako wasingelijenga kamwe!
Mr. Mabuti [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…