Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usiniambukize ujinga.
We tayari ni mjinga, km tayari ushajiaminishia mtu kuongea lugha ambayo ilitumika shuleni kutoka la kwanza mpka chuo kwako ni kujitapa..km sio wivu ni nini huo, ama ndio ile tunaita unafiki wa viwango[emoji1787][emoji1787]
Wakenya kingereza ni official language, haiwezekani mtu miaka yote ufunze kw lugha flanu alafu ushindwe kukiongea
 
Yaani makomando wa KDF baada ya kuvamiwa wakaona isiwe kesi ngonja tule kona vichakani,wakawaacha wamarekani wanapambana peke yao.. Aisee ndo maana sishangai kuona makomando wa KDF wakidondoka na maparashuti kama maparachichi yaliyokwiva juu ya mti
KDF hakuna commandos
 
Yaani niwaonee wivu watu wanaoboronga English pamoja na accent chafu.
Kuwa na adabu.

Zimbabwe wana kingereza safii kabisa.
 
Majamaa wapo nyuma sana walai
 
Eti 2000 [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Private project for his few people ndio unasema ni mradi wa Kenya nzima?

Tena mradi wa 2018 unasema wa 2000 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata Mpesa bado haijulikani itakua lini
Mbona umekasirika mzee[emoji1787][emoji1787]
Prepaid meters mbona zipo kitambo, au hata sisi wengine ni among the few hao unaowataja..
 
Mwambie pia na Ile Wine ya Muratina ya USA,yenye inawapeleka USA wazimuπŸ”₯πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ”₯😏
 
Kwa hiyo hao waliodondoka na kuvunjika kiuno wakati wakishuka na parashuti ni akina nani?
Ni paratroopers, sio komando wale wenyu feki... Hilo jina commando mlidanganywa na nani wakati vigezo bado? Bado sana! 🀣 🀣 🀣
 
Yaani niwaonee wivu watu wanaoboronga English pamoja na accent chafu.
Kuwa na adabu.

Zimbabwe wana kingereza safii kabisa.
Accent yetu ni unique ndio maana haikutoki wewe kuiponda kila wakati sababu unaishobokea tunajua! 🀣 🀣 🀣 🀣 Alafu wacha Zimbabwe, hata UG wana kizungu smart na bado wana lugha zao za mama. Sasa unaona, shule muhimu mkuu! 🀣 🀣 🀣
 
Yaani niwaonee wivu watu wanaoboronga English pamoja na accent chafu.
Kuwa na adabu.

Zimbabwe wana kingereza safii kabisa.
Umebadili gear hewani, mbona tena mzee..we si ilikua hutaki watu wajue lugha inayotumika katika utoaji wa elimu yetu[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…