Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo akacheze anako chezaga.

 
Huyo akacheze anako chezaga.

Nachezaga 'award winning winery's'... all the way from KE, yaani one brand matata. Chuki yako peleka Baghdad! 🀣 🀣 🀣

Leleshwa winery, which is named after a common tree in the vicinity, continued to grow and now prides itself as the 2015 winner of Michelangelo Wines and Spirits best white wine award. It is also the only winery between North of Johannesburg and South of Sicily with a female winemaker.
 
Sisi tupo kwenye level ya kuinywesha China na West Africa, yeye analeta story za homemade level
Hata mkinywesha dunia nzima tena, we don't give a flying bs about it. It's your country, do what you wish... πŸ˜‚
 
Acha propaganda dogo

Angalia hii video ikutoe tongotongo kuhusu hiki kilimo Tanzania na uone watanzania wanavyochangamkia fursa

Yaani sisi pamoja na kwamba tupo wengi zaidi yenu lakini tunalima mazao ya chakula ya kututosha na kuwatosheni ninyi majirani nyote mnaotuzunguka zaidi ya 8 na bado tunapata nguvu ya kulima mazao mengine mengi ya biashara mpaka tunaongoza Africa

Muwe mnatuheshimu sana watanzania sababu ni wachapa kazi

 
Huyo akacheze anako chezaga.

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Akili na imkae, Dodoma pamoja na hali yake ya hewa sawia na maeneo mengi ya Kenya, hawafi njaa badala yake wanaongoza Africa kwa kuzalisha zabibu, Kenya hata kujitosheleza chakula mtihani ila utawasikia wakibwabwaja kwamba watanzania wavivu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wanawake wanaotengeneza wines wapo wengi sana Tanzania, na kushangaza

 
Nipe list ya hizo 100 local wine brands in Tz, video haitanisaidia kwasababu hatuongelelei mazao ya vyakula, bro ni wines. Usichanganye ma file, niko sober! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 I need a list, I'll make it easy for you, Andika tu hapo chini, usinipe link, alafu nikajionee mwenyewe, one by one ka ni zenyu! 🀣
 
Hiyo ni video inayohusu mazao ya vyakula au zabibu? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… We ni kichaa wa wapi?
 
Yeah yeah, I see the stainless steel fermentation vessels and etc but you haven't answered my question, the woman above, does she have an award on any of her products? Second, this is just one winery, now bring me the other 99 winery's left. Na majina ya brand usisahau, I've got time for you! 🀣 🀣 🀣 Mimi siwezi kudanganya eti KE kuna wine brands local nyingi, no, lakini nemekupea ukweli ila una chuki, sasa nipe hizo 99 brands zingine!
 
Mkoloni aliondoka(ga) na akili zao [emoji23][emoji23][emoji23]

Hapa niko kwangu napata Image Wine 17%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…