Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ili mikunya iende SA bila visa huwa inabidi wajifanye wabongo.

Mikunya mingi kule SA inajifanya wabongo na kujitambulisha kama Watanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
niende SA nikafanye nini mm.. ilhali kenya tuko na kila kitu! kenya sihami!
 
Daily wanalilia waingie Tanzania kwa kutumia kitambulisho [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Normal standards za Dar; nyumba za kawaida Dar.., mashambani in Dar is slum.,
View attachment 1804674
View attachment 1804676
View attachment 1804677
View attachment 1804678
tafuta mitaa za kilawani ujionee..juzi kuna jamaa amekua nairobi akaenda ku cherry pick picha za sehemu flani alafu anasema afadhali wao wako vyema...nikakumbuka mitaa zao kama keko,kilawani,buguruni....na kadhalika,,pamoja na wale machinga(hawkers) wako dar...nikacheka tu..kweli nyani haoni kundule..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…