Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndo maana alikuwa fast kumkanya Ruto kuhusu hustler vs dynasty politics! Anajua hatari yake!
 
Swala la maji ni kitu kipo but it's not something that happens evertime. Nairobi inategemea maji kutoka Ndakaini Dam na wakati wa kiangazi ndio hiyo shida ya maji hutokea. I think I am lucky coz tangu nianze kuishi Nairobi personally I have never experienced this problem but I know this is not the case with everyone. There are many ongoing projects aimed at solving this problem unless you just haven't heard about them.

Back to the expressways, ni wapi ulisoma kwamba only the rich will use the expresway? This is what we call misinformation being dished out. Toll service ya hiyo expresswsy will be purely OPTIONAL! Utatumia tu expressway if you feel the need to. Remember that this road is being expanded from its current capacity and it will also come with a brt system. Hizi zote ni toll service? Kwani Nairobi iko na interchanges ngapi? Are they toll roads too? And do these interchanges solve the same problem Kijazi interchange solves? Wacha kuongea kishabiki. Nimeona maana ya ile msemo kwamba maskini akipata matako hulia mbwata!
 
This catalogue of Nazis concentration camps of Hitler ni tajiri yupi ataishi humu kwenye cages? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…



Kuna zile nyingine za mapaa ya red na zenyewe zinatisha πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Huwezi kupost picture 2 za kenya posh areas bila kutanguliza cages, ni tajiri gani anakaa kwenye hizi standard of cages you are showing us? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Sasa wewe unaingia mada yenye hata hujui kichwa ni wapi mguu ni wapi! Mwenzako kasema eti maeneo yote mazuri Nairobi wanaishi whites. I responded in a sarcastic way by posting a few rich neighborhoods and majority middle-incone areas ndio aone alivyo kilaza.

Alafu unasahau kwamba hizo cages ndio mfumo kule kwa matajiri wenu Masaki? Unakejeli cage wakati bwenyenye wenu anaishi ndani ya cage hapo Masaki πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ What a satire!
 
Dooh nimewaonea imani 😭😭😭😭😭

 
tukisema tu ukweli, watz wana penda kenya saana!. ukiona mtu anajisumbua na ww sana, hadi anafanya upekuzi. hakupi nafasi.. anakufwata ata hadi bedroom. ujue tu huyo mtu anakupenda
They want be like us but they can't,so they feel Jealous 🀣🀣🀣🀣with a country double size than us and bigger population than us,but we almost double them in GDP,Roads, Electricity,Companies,Airports,Ports,etc,Yani almost everything πŸ˜­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama hawa ni wakikuyu, wakasikia unamsema vibaya uhuru kuhusu serikali yake kuiba 2 billion daily wanaweza kukuua na wakamtetea Rais wao mpaka wanaingia kaburini 😱😱😱😱

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…