Usisahau kwamba runda ni sehemu ndogo tu ya jiji. ..wakazi wa jiji ni wengi sana kumiliki nyumba jijini sio kazi ndogo esp nyumba yenye kiwango. ..issue Ni je unaweza nunua Au kujenga mwenyeweNimerudia picha aliyopost mwenzako akasema ni dream houses. Mimi sijui ni wapi ila alisema mwenyewe hizo ni dream houses na ni bora kuliko za Runda za kununua.
Haha dream house ya 3bedrooms nmecheka sanaaThis is the Nairobi version of dream houses:
People in DAR ni to dream big!! This issue of building 3 bedroom bungalows that do not even cost more than KShs 3m and calling it dream houses is a big joke. That is a dream that can be achieved by age 28. What the hell are you doing with the rest of your life ... ๐ ๐
Hii sio mbaya let them wamalize miradi iliyokuwa stagnant maana kiuchumi hai-make sense jengo kama la Morocco Square kuachwa bila kumaliziwa maana lita-deteriorate! Ila masithubutu kuanza miradi mipya wakati Real Estate occupancy ya Dar ipo chini ya 50%! Waangalie kujenga makazi sehemu zenye uhitaji haswa Dodoma! Huku Dar kazi yao ibaki ku-market miradi yao mpaka ocuupancy ivuke 70%!
Pia serikali imalizie all the 6 phases za BRT na pia ile +100km super Highway Chalinze-Dar kwanza; maana mshika mawili moja humponyoka!
How is morgate in tz? Most apartments in Nairobi can easily be Financed by bank if you have a stable income.Usisahau kwamba runda ni sehemu ndogo tu ya jiji. ..wakazi wa jiji ni wengi sana kumiliki nyumba jijini sio kazi ndogo esp nyumba yenye kiwango. ..issue Ni je unaweza nunua Au kujenga mwenyewe
Sifahamu broHow is morgate in tz? Most apartments in Nairobi can easily be Financed by bank if you have a stable income.
The rate of interest is 13% here
Hahaha!!umekasirika sio..kawaulize
Nje ya Nairobi na Mombasa hiyo
we kipofu hulijui hilo eneo hapo mchanga upo sehemu moja tuHuu mchanga ndio unaita zege boss? Ni macho huna ama ni akili? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 1798200
Vertical slums ๐ ๐ ๐Modern slums.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ukienda hapo crime rate ni ya kutisha.
unaongea vitu cheap sana hoja normal zisizo na mashiko,,,How is morgate in tz? Most apartments in Nairobi can easily be Financed by bank if you have a stable income.
The rate of interest is 13% here
Siokima ipo machakos, Tinny Nairobi bila other Tinny counties nyingine ni village
Acha nyege wewe๐unaongea vitu cheap sana hoja normal zisizo na mashiko,,,
chokoraa ni chokoraa tu
Dar bila posta na kariakoo ni kijiji๐๐Siokima ipo machakos, Tinny Nairobi bila other Tinny counties nyingine ni village
Tanzania doubled that size of your whole joint venture and we're not even braggingA worthy and able neighbor; sio fukara wa kulia lia
Ethiopia and Kenya $1billion electricity highway completed
Posta kariakoo zote mali ya DarDar bila posta na kariakoo ni kijiji๐๐
Posta kariakoo zote mali ya Dar
Siokima ni tumbili ni mali ya matakoz ๐ ๐ ๐
Hivi vijumba hata watu 1k havichukui ni a drop in the ocean, majority wanasota kwenye majalala ya huruma na moyo safiThis is the Nairobi version of dream houses:
People in DAR ni to dream big!! This issue of building 3 bedroom bungalows that do not even cost more than KShs 3m and calling it dream houses is a big joke. That is a dream that can be achieved by age 28. What the hell are you doing with the rest of your life ... ๐ ๐
Just like I said, mmeanza siasa sasa. You people can't hold a descent debate. Have you realized that in all those four graphs middle-class yenu haijafikia hata nusu ya Kenya? Kazi mnayo!Na wale wanaoishi kwa slums za Nairobi wamehesabiwa kweli!!?
Pia nje ya Nairobi na Mombasa je!!?