Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya oneni sasa 🤣🤣🤣🤣 nikisema mm naonekana mbaya kwao wananichukia kabisa wallah dah
 
Bill and Melinda Gates Foundation has its african headquaters in nairobi kenya!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 vituko vya karne hvi

dangote kaekeza tanzania over 750m usd na sasa anaenda kuekeza over 500m usd unaongea nn wewe 🤣🤣🤣
 
Hawa wamarekani watakuja kupanga mpaka huku buza miezi michache ijayo aswea 😅😅😅

Madalali wa buza mkae mkao wa kuongea kimarekani 😅😅😅

Hii mada hawaiwezi na wanajua sio size yao nilitaka kumfunza kitu huyo kilaza mpaka asingenisahau maisha yake yote 🤣🤣 ukimwambia akuoneshe majumba waliojenga matajiri wao kwa ndoto zao atakuonesha estate za runda na karen 🤣🤣 sasa kuna mawili kwenye estates either wamepanga au wamenunua hapo sasa 🤣🤣🤣
 
Alafu mtu akuletee uchafu mwengine hapo hivo akwambie ndio dream house na hii sii dream house juu umenunua. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Yani si umejua kunikosha leo[emoji1787][emoji1787]hyo kwake si dream house
 
umerudi kule kule huwezi toka nnje ya hapo

pale mkenya anapoulizwa swali kuhusu individual houses[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1796612
Hii nayo tunaiitaje[emoji1787][emoji1787]manake developers ndio wamejenga wala sio individual..
Au kivyako individual ramani mpaka ujichoree wewe na msingi pia uusimamie wewe wala hufai kununua sio[emoji2960][emoji2960]
Sai tena nishagundua ya kwamba hujui maana ya neno estate plus hili la pili individual..twende pole pole tutalewana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…