Sasa unakataa kama hakuna forest ama nikuwashe sasa hvi π€£π€£π€£π€£Wenzako wanaziita forests! π π π
Personally i just love green spaces and can't just get enough of them. It's soothing
ππππππbisha basi tuoneHaya, waeleze wenzako maanake wanashinda humu wakidiss eti Nairobi imejaa mapori juu ya green spaces. Funny characters.
Sasa unakataa kama hakuna forest ama nikuwashe sasa hvi π€£π€£π€£π€£
Ubungo kwa sasaHivi Mabibo ni manispaa gani? Kinondoni au Ubungo?
Eti enhhh π€£π€£π€£π€£ sikieni hii mbuziOysterbay yenyewe haifikii hata Kilimani wakati Kilimani haingii top 20 Nairobi kwa residential areas kali. π€£ π€£ π€£
Kumbe estate kama kawaida yenu nyumba za kufananaaKwa hizo sehemu zote umetaja, labda Lavington tu. Hizo zingine zote hawana cha kufananisha nayo.
View attachment 1794998
Inamaana nairobi nzima hakuna nyumba za matajiri waliojenga kwa dream zao alaf nyinyi ndio munakuja hapa kujiringanisha na sisi π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kwa hizo sehemu zote umetaja, labda Lavington tu. Hizo zingine zote hawana cha kufananisha nayo.
View attachment 1794998
Hata matajiri wao hawana nyumba za dream zao either wamenunua au wamepanga hao matajiri wao π€£π€£π€£π€£ alaf ndio wanakuja hapa tushindaneKumbe estate kama kawaida yenu nyumba za kufananaa
yaani hizo +435 km za Makutupora-Isaka zinanipa headache mpunga unaohitajika si chini ya $2.5 bln!by june 2022.. SGR zote mbili zitakuwa zinafanya kazi?
Serekali ina hela nyingi sana gezayaani hizo 500+ km za Makutupora-Isaka zinanipa headache mpunga unaohitajika si chini ya $3 bln!
tuombe mama aendelee kukaza! Nimeskia kuna kipande cha SGR Kaliua-Mpanda-Karema! Inakaa SGR Uvinza-Kigoma na SGR Isaka-Rusumo vitangoja! Maana inakaa Kagame kafura japokuwa Ndayishimiye katuma ujumbe maalum ku-commit! Inafaa mama akamualika Kagame for official visit! Kuna viongozi wana hulka ya kuataka kupambwa!Serekali ina hela nyingi sana geza
Lazma akaze ili akamilishe miradi hiituombe mama aendelee kukaza!
Umesahau ukongaTaarifa hii imfike
Ilala
Segerea
Ubungo
Kinondoni
Ilala
Mbagala
Temeke
Kigamboni
Kibamba
Kawe
Umesahau ukongaTaarifa hii imfike
Ilala
Segerea
Ubungo
Kinondoni
Ilala
Mbagala
Temeke
Kigamboni
Kibamba
Kawe
Look at Ridgeways below, one of the residential areas that most of them don't even know exist! Miles ahead of Oysterbay et al. Hapo hatujaingia Spring Valley, Lower Kabete, Loresho, Kitisuru, Kyuna and a host of other high end neighborhoods that they don't even know about. Wao wanajua tu Karen, Muthaiga na Runda as the only leafy subarbs za NairobiOysterbay yenyewe haifikii hata Kilimani wakati Kilimani haingii top 20 Nairobi kwa residential areas kali. π€£ π€£ π€£
Jamani mnaona kigamboni hiyoπππNicxie hzi baadhi ya nyumba za kisasa amabzo ni ndoto za watu ziko maeneo ya kigamboni sasa sikiliza swali kwa umakini nioneshe sehemu matajiri wa nairobi nyumba wanazoishi waliojenga kwa dream zao wao ukipata nitag mm π€£π€£π€£ππππ
View attachment 1795062View attachment 1795063View attachment 1795064View attachment 1795065