Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alaf kitu cha ajabu zaidi hzo slums zote zinamilikiwa na serekali 🤣🤣🤣🤣
 
Wakenya angalieni mazingira natural ya Dar jinsi yako friendly na binadamu yn hata kama umevaa nguo nyeupe ukadondoka bahati mby huchafuki kiasi cha kulazimika kubadili nguo km ambavyo itakulazimu ukidondoka hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maafisa wa elimu wa wilaya wanapewa hilux revo new model ina thamani kuliko prado za mawaziri wa kenya 🤣🤣🤣👇👇👇
 
Kama amesahaulika Mbona unamjua🤣🤣Mimi personally alisomesha Baba yangu🙏Asante kwake
 
Wat?I prove to you,na ukona bundles!!!My friend🤣🤣🤣🤣
 
Mabongo mumezoea kuleta Picha za kibera😆Mbona hamleti slum Zenu za Mbagala,Manzese,Kigogo,Vuvunguti,Tandale,etc🙈 Yani Ni Nyumba za Nyasi na matope Tena Zina uvundo,Nikama Makazi ya Nguruwe🤮Alafu hio Kibera munatajanga apa🤪Imejaa Maskini Wachaga,Wasukuma,Wapemba na Waganda(Wagisu) Yani mpaka hawana aibu wakitaka kupewa uraia kilasaa wanalilia Uhuru,Rudini kwenu🤪#THe Best 007
 
Wengine wanalinganishaga skyscraper zao na Kibera,No wonder wako lazy hivyo,ata aibu😆South Africa Iko na Slums Lakini ikija kwa list ya Maendeleo hamwapiti endeleeni kujigamba kifalafala wakati Zambia,Rwanda,DRC zinangangana kutengeneza Inchi Yao na maendeleo kila upande,Kaeni kitako mukingoja pia Nyinyi mue na Pesa za makaratasi kama muisemavyo Kenya🇰🇪🔥🔥
 
One Mkunya from Nyeri was heard boasting!
 
Nmekuwekea picha za uswazi bongo umepanic, au ulifikiri tunaposema Tz hakuna slums ukahisi tunadanganya [emoji1787][emoji1787]

Yn mtoto wa kikenya akizaliwa tu anaaminishwa dunia nzima ina slums km kwao na hii ndiyo shida mana wakienda nchi za wenzao wanakutana na maisha tofauti kabisa ndio wanakuja kugundua kwamba kumbe wao wanaishi km nguruwe huko kwao, thus y mkenya yeyote akija nchi km Tz humshawishi kurudi kwao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…