Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilitaka nimuulize Azam na JPM wapi na wapi nikakukumbuka ni moja kati ya zile ID za stupidi manki...nikafuta nilichokuandika [emoji23][emoji23][emoji23]
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 akili zao ni moja hawa ni zile zile za kuficha aibu zao lakini bora wafe
 
Subiri wajenge alaf ongea sasa 🀣🀣🀣 munaji race sana tulieni leo tanzania inawapeleka mputa mputa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† miaka 10 iliopita sio nyinyi mulikua munaitukana tanzania leo kimyaaaa
Tanzania imefika wapi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Bagamoyo 0 Lamu 10., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
SGR 0(subiri subiri tu) Kenya 10.,
New skyscrapers developments Dar 0 Nairobi 10.,
Outside Dar any flyovers and interchanges done or under construction Tz 0 Kenya 10
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Malawi/Burundi weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lamu munafungua 1 bearth miaka 10
Wakat mtwara ina 2 bearth under constructionπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Total three now
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ bado endeleeni kuota ndoto ya miaka 40 sasa ona mwanza hio
Weka na drone clips nicheke LeoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., asubuhi njema kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Ndio mnatoka porini, bado mguu mmoja uko nyuma ndani ya poriniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lamu munafungua 1 bearth miaka 10
Wakat mtwara ina 2 bearth under constructionπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Total three now
Two barth na soko hakunaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Skyscrapper gani πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡ hii au kuna nyingine
 
Which SGR unaongelea au mumejenga nyingine 🀣🀣🀣🀣 744km na mwanza kazi imeanza 341km utajumlisha tu

 
Unaongelea interchange ??🀣🀣🀣 tafuta three level ukipata nitag mm nifunge acc sasa hvi
 
Kwekwekwewkwewkwr hakuna middle class na lower class dar uhehehehehhehehehehehehgehehehe
Akili zile zile ukirent besitter unakua middle class akili hazibadilikiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Wewe uliona bedsitter kumbeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚semi illiterate πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Which SGR unaongelea au mumejenga nyingine 🀣🀣🀣🀣 744km na mwanza kazi imeanza 341km utajumlisha tu

Nataka kuona yenyu ya umeme imebeba mizigo na abiriaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Leo mmubeba container ngapi dogo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Ume book tiketi ya Morogoro?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., nyambaffπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe uliona bedsitter kumbeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚semi illiterate πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 ndoto ya kumiliki ardhi na nyumba nairobi achilia wafuatao

politicians
Investors
Wafanyabiashara wakubwa
Na wakuu idara za serekali

full stopπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Yenyu ya umeme 🀣🀣🀣 electric poles au unafkiri zimewekwa kama pambo za kupigia picha πŸ˜πŸ˜πŸ˜€ hasira za nn sasaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ mambo ya SGR tulishamalizana na munajua hilo


Which SGR unaongelea au mumejenga nyingine 🀣🀣🀣🀣 744km na mwanza kazi imeanza 341km utajumlisha tu

 
Skyscrapper gani πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡ hii au kuna nyingine View attachment 1792478
View attachment 1792478
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Dar tunaijua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚usipoteze data tena..,

Modern developed area ni less than 5% of 1500 sq kmπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Kwingine kwote ni ushuziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Leta tu vipicha zile angle nzuri nzuri ya kujitekenya ufurahi na wewe leoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, unalia sana siku hiziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bro.. Bedisita unapika lunch ukiwa umelala [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Barabara sasa munawakabidhi wachina na munawakibidhi kina naniπŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡




Tujionee mapovu sasaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ ambayo hamutaziona jamii forum
 
Yenyu ya umeme 🀣🀣🀣 electric poles au unafkiri zimewekwa kama pambo za kupigia picha πŸ˜πŸ˜πŸ˜€ hasira za nn sasaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ mambo ya SGR tulishamalizana na munajua hilo
Nionyeshe mmebeba container ngapi leoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., mimi sijasema yetu ni ya umeme wala kupinga yenu, wewe unaweka maneno kwa mdomo yanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., umechanganyikiwa mapema sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…