Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣🀣🀣🀣🀣🀣 nanyuki, laikipia kweli jamani tunazungumza dream za kimjini ww unatuletea mambo ya ushagoo bro are u even serious
Ku invest mikoani pia ni vizuri ndo inchi iinuke evenly
 
Ksh. 95 Milli.... From 50 bob savings
Katumia miaka 50πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† inamaana nyumba kaipata baada ya miaka 50 ama??😁😁😁 Na ujana wake kwisha sasa anasubiri siku ya kufa huku watoto na wajukuu wakitazama nyuma ya urithi ama??? Bado ndugu na jamaa
 
Arusha napajua vizuri tena sana, labda hata nimesafiri tanzania zaidi yako,
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 nyamaza tu bro leo sitaki kuaibisha mtu manake mutazidi kunichukia
 
Welcome πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Katumia miaka 50πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† inamaana nyumba kaipata baada ya miaka 50 ama??😁😁😁 Na ujana wake kwisha sasa anasubiri siku ya kufa huku watoto na wajukuu wakitazama nyuma ya urithi ama??? Bado ndugu na jamaa
Ni sacco wacha uboya, alafu usibishane vitu hujui. Si una net, ka tafute huko mwenyewe... πŸ˜‚
 
Katumia miaka 50πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† inamaana nyumba kaipata baada ya miaka 50 ama??😁😁😁 Na ujana wake kwisha sasa anasubiri siku ya kufa huku watoto na wajukuu wakitazama nyuma ya urithi ama??? Bado ndugu na jamaa
Jamaa waongo sana,yaani bodaboda let say kaanza na miaka 25 aki-save ksh 50 daily ili apate ksh 95 mill inaweza kumchukua zaidi ya miaka 1000 ...
 
Acha uwongo bwana ksh 50 to ksh 95 mill..!!!!???? We akili yako inafanya kazi kweli??!
 
Jibu swali kiambu lini imekua nairobi?? 🀣🀣 na aliengiza kiambu ndani ya county ya nairobi nani??? 😁😁😁😁😁 simamia kwenye swali kwanza
Twende pole pole school dropout, hii ndo maana ya metropolitan, soma ukielewa niquote tuendelee na somo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…