Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Makazi yako hayanihusu rudi kwanza kwenye mada ya nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Basi una uwezo huo wakununua plot kw hayo maeneo ambayo yameunganishwa kw metro au ni mbwembwe tu
 
Imepanuliwa na nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116] kwann kimabu iitwe county na ijutegemee kwann??

View attachment 1790776View attachment 1790777View attachment 1790787
Km imeachwa kuitwa central province tu ndio ije ishindwe kuitwa nairobi metro[emoji23][emoji23]
Ama ndio kupanic umepanic, kenya tunaijua wenyewe na ndio manake hatukua na magavana na sasa wapo pia metro vile vile ipo..we kalielie chato makaburini huenda kilio chako kitasikika[emoji2960]
 
Nipanic na red soil...are you crazy,hizo soil huku tz zipo village
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hizi fikraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., vile kunaenda hivi karibuni utasikia mtu akiuliza mbona Nairobi sio pwani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hizi fikraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., vile kunaenda hivi karibuni utasikia mtu akiuliza mbona Nairobi sio pwani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Ndo ujue kuna vitu sio level yako ni blessings tu from GOD,dar imebarikiwa white sand soil na hicho kitu cha kwanza kinachotofautisha dar na nairoslum..ni blessing.. Red soil to a city is not attractive at all,it makes Nairobi look like a njombe village..
 
Enhee!!kwhyo dar kuwa na white sand soil ni blessings kutoka lwa Mungu..
We tena unajiskia au ndio umeamua kuwehuka km kawaida yenu
 
kuna mwingine anakaa karen🀣
 
Makazi yako hayanihusu rudi kwanza kwenye mada ya nairobi πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Ndo nimekujibu mombasa for life😎 ulitaka nikwambie nataka kuishi nairobi😁😁😁😁, rudi ujipange tena.
 
Makazi yako hayanihusu rudi kwanza kwenye mada ya nairobi πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Ndo nimekujibu mombasa for life😎 ulitaka nikwambie nataka kuishi nairobi😁😁😁😁, rudi ujipange tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…