Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo Nicxie amejilipua, kaweka zile picha huwa tunasema za upande upande, yn leo ndio kila kitu kaweka hadharani aloo, hakuna sehemu ikakosa ushuzi Kenya, yn maslums kushoto kulia aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Watanzania mmeona tulichokuwa tunasema humu kwamba Kenya ni mavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Leo jamaa kaji expose mwenyeewee wala hajashikiwa mtutu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Oya ichoboy01 mpe ulinzi Nicxie mana Wakenya wenzie watamuua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maeneo yao wanayokesha kulinganisha na Tz yote yana mauchafu ya slums kila kona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimecheka kidogo nife leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hakuna battle hapa wakuu, oyaa wakuu mpeni ulinzi Nicxie kashawavua nguo ndugu zake huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wenzie wanaficha yeye kawalipua [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Woooiiii [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hatutaki storyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ weka picha za dar majority estates.😁😁
 
Hakuna battle hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Battle na Kenya ni upumbavu mtupu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Povu limetokea takoni leo siku nyingine njoo na heshma kama ndugu yako Nicxie sasa hvi hatumsikii tena manake nilimpa nondo hatakaa kunisahau 🀣🀣🀣🀣🀣 yani mzungu na akili ya kuweka sattelite asione slum dar ila aone ya dunia nzima utahangaika mpaka dunia itasimama
 
Utachoka bure si umeona what he is postingπŸ€­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., am working as I check posts humu., yaani ichoboy01 is my guyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ€£ , atajitetea hadi basiπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
Niliwaambia toka mwanzo πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£ bakia kuzuga kwa kujichekesha tu ila tango pori umekuala leo 😁😁😁😁
 
Middle class yenu ni ndogo sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mimi nataka low middle class kule mtanzania wa kawaida( majority) anakoishiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Taja sehemu yoyote mm nikuletee picha 🀣🀣🀣🀣 sasa hzi hutaki middle unataka low middle mzikinwa mid ushakutokea puani
 
Picha zote ulizoweka hapo road zake ni marked sema ni kuukuu na kwa taarifa yako ni kwamba hapo inapita BRT hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Excuses hamkosangi. Kwa hivyo sisi hatuna macho za kuona hizo barabara sio marked?
 
Kwamba ili utambulike middle class kule kwa wakunya inatakiwa uishi kwenye hayo mabox! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwao middle ni mtu anaeza lipa rent ya bed sitter 🀣🀣🀣 sasa unajiukiza maswali mengi aliepanga hajafkia vigezo vya kuitwa middle hata kwa ramli ila ndoto ya kujenga wataiskia mbinguni sio duniani
 
Taja sehemu yoyote mm nikuletee picha 🀣🀣🀣🀣 sasa hzi hutaki middle unataka low middle mzikinwa mid ushakutokea puani
Wakati wa middle class utafika sasa ni zamu ya the super majorityπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwambie Nicxie akusaidie sasa 🀣🀣🀣 mm hua naongea na facts sio porojo huwez kua middle income alaf unapanga bedsitter haitatokea mpaka kiyama πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Wakati wa middle class utafika sasa ni zamu ya the super majorityπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Taja sehemu inayokupa mashaka mm niko tayar kukupa bakora ww taja 🀣🀣🀣🀣 mumekosa slum sasa munakuja kwenye middle class hapo hata msijaribu 🀣🀣🀣
 
Mimi pia niko job hapa 😁😁😁 jamaa nimemkamata pabaya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umemkamata nani kenge wewe mwenzako kasema atafunga acc mbona yupo bado na kibano nimempa chakimataifa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Taja sehemu inayokupa mashaka mm niko tayar kukupa bakora ww taja 🀣🀣🀣🀣 mumekosa slum sasa munakuja kwenye middle class hapo hata msijaribu 🀣🀣🀣
Mimi sijui wapi super majority wenu wanakaa, ebu nisaidieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hilo swali hawawezi kujibu zaidi ya kuletewa picha bila majina ya mitaa[emoji23][emoji23]
Msaidie kusema ni wapi mm nikuletee picha ukitoka ww mwanaume 🀣🀣🀣 kila sehemu pamejengeka na kila sehemu kuna majority sasa taja ww panapokupa shida nikupe dawa
 
Ingekuwa unafahamu tabia za jaluo wala usinge kuwa unapoteza muda wako kubishana na hiyo chaubishi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…