Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Afanye upuuzI wote ila hadijaribu kutaja neno lovkdown
Tunaelekea huko mkuu, hiyo corona corona iko wapi, tunajazana kwenye mabasi, mitaani tuna share kila kitu hiyo corona iko wapi, ni kuogopa kuuwawa au ni mikopo, mm cjui ila lazima twende huko mana tulishaambiwa lazima twende na wenzetu hatuwezi kwenda pekeetu, kwahiyo km wenzetu wanaelekea shimoni na cc tuelekee huko? Ok ngj tuone ila Information waliyotuletea leo ni predictable kwmb tujiandae kisaikolojia lockdown yaja.
 
That's kibera slum, very small in comparison to the rest of Nairobi. Na hiyo mahali umeandika pori ni golf courses. Najua Dar nzima iko na golf courses moja au mbili maximum. Huku kwetu tuko nazo hadi kwenye slums



Look at the area and houses around Kibera alafu linganidhe na zile midreamhouses zenu

And then look at how organised the surrounding area looks then compare with your uswazis



 
Picha zote ulizoweka hapo road zake ni marked sema ni kuukuu na kwa taarifa yako ni kwamba hapo inapita BRT hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unajua hawa wakenya bado wanafikiri Dar ya sasaivi ni kama ile ya kikwete na mkapa,
Jambo la marked roads uku bongo ni jambo la kawaida sana hawa jamaa hawatambui ilo
 
Kwahiyo walikosea kusema Kibera ndiyo sehemu mbovu na chafu zaidi kuliko sehemu yyte EA? Kwamba wewe unasema dream houses za Tz ni zaidi ya kibera au sio? Basi weka public ili dunia ijue kwamba waliongopa kuipa cheo Kibera na maeneo mengi ya Kenya, Kibera inawatesa kweli kweli Wakenya ila ndio kwenu ss[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakenya hiyo Kenya ni nchi yenu so msiumwe na uchafu na ufukara uliozunguka nchini kwenu bali mpambane kuweka sawa mbona inawezekana japo inahitaji elimu kdg [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 


Aah thubutu miradi ataendeleza kwa hela zipi ila maza focus yake ipo kwenye kutengeneza ujirani mwema na diploamasia na nchi za magharibi tofauti kabisa na mzee focus yak ilikua kwenye maendeleo na ukusanyaji kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…