Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Garden City Mall
Garden-City-Mall_600x300.jpg
Construction-3-March.jpg
 
You know westgate?

Mm najua hiv vitu vzur mnoo Kijana ....
Ngoja nkuwekee facts hapa
Two rivers 62,000sqm
Garden city 50,000sqm
Westgate 33,000sqm
The Hub 35,000sqm
TRM not so sure around 30,000sqm to 35,000sqm
 
Poleni wakenya kwa kipigo kitakataifu
Hio ndio yofaut ya DC everton and LDC kenya
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
binti baada ya kuchunguza post zako ktk hii thread,nimebaini kelele zako zote,kumbe unahitaji boyfriend kutoka kenya.acha tukuchagulie mzee wa iPhone 7,kolo mzii,bila shaka atakufaa.
kolo tumekupatia manzi mtz hapo juu....
plz allow her to be your kenyan boyfriend.
collo mburura hatomuweza labda tumchagulie....mwingine kwani mzee wa iphone7 humu ni kelele tu ila akiwa na demu domo lake huwa zito
 
why are people yapping about this stadium soo much??uwanja ilibidi sportpesa iingilie kati ufanyiwe renovation kisha still ukiangalia vyenye ulikua wakati wa mechi utajua hamna kitu...unachimbuka kila mahali.plz give us a break bana..same capacity na kasarani ya 1980 na ukizilinganisha zinakaa tu sawa..
 
Povu sasa hilo😀😀😀😀😀
 
Say again..

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom