Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huezipingana na ukweli kijana. Hii ni 2020 report from Tanzania airport authority 😂😂🤣👇👇👇

View attachment 1787795
👇👇👇 hapa ndio nilikua napataka
 
😂🤣🤣🤣👇👇👇

View attachment 1787797
2.5m is just terminal two only🤣🤣👇👇
228EE179-69B5-4A43-84D6-71BBF95EE1C3.jpeg
 
That is terminal 2 before terminal 3 🤣🤣 umejikanyaga sasa nilikua napataka hapo
Naona umechange gear😂😂🤣😂. Hii terminal zote combined za JNIA 👇👇👇🤣🤣

Screenshot_20210516-222019~2.png
 
Shidako huelewi kingereza. Capacity ni tofauti na PAX. PAX ya JNIA ni 2 million upende usipende🤣🤣🤣
Nakwambia 2.5m passengers walikua served 2018 na terminal 2 ndio maana wakaamua kujenga terminal 3 baada ya kuzidiwa terminal 2 😀😀😀😀 wewe usibadilishe mada kwanz na tweminal 3 imefunguliwa mwaka jana
 
Hizo picha haitabadilisha ukweli kuwa JKIA inahudumia abiria milioni nane wakati JNIA inahudumia abiria milioni mbili pekee[emoji23][emoji23][emoji1787].

View attachment 1787740
Unaongelea ukubwa au unaongelea huduma, mana mm naweza nikawa na kibanda changu cha m-pesa kdg tu lkn kikawa kinahudumia wateja 100 kwa cku kulingana na matangazo lkn mtu akawa na duka lake kubwa la m-pesa lkn akawa anahudumia wateja wawili.
 
Waliojenga terminal 3👇👇👇👇

View attachment 1787802
Tunaongelea PAX wewe unatuonyesha Capacity, akili yako iko sawa kweli? 🤣🤣😂😂 PAX ya JNIA ni 2 million upende usipende 🤣🤣

Screenshot_20210516-222019~2.png
 
Hizo picha haitabadilisha ukweli kuwa JKIA inahudumia abiria milioni nane wakati JNIA inahudumia abiria milioni mbili pekee[emoji23][emoji23][emoji1787].
Umebadili usemi au sio, kutoka ukubwa mpk kuhudumia, lengo langu lilikuwa hilo tu kwamba ushaelewa ss [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Shidako huelewi kingereza. Capacity ni tofauti na PAX. PAX ya JNIA ni 2 million upende usipende🤣🤣🤣
Mm hua subishani na wapumbavu kama wewe🤣🤣🤣👇👇👇 2017 hio
66B92A74-1A84-4C39-A686-522EFB8F4E01.jpeg

na 2018 ikapanda mpaka 2.5m passengers 👇👇👇👇👇
4CF0C939-2717-461E-86E2-D0C51C6E9B24.jpeg
 
Tunaongelea PAX wewe unatuonyesha Capacity, akili yako iko sawa kweli? 🤣🤣😂😂 PAX ya JNIA ni 2 million upende usipende 🤣🤣

View attachment 1787806
2019 to 2020 JNIA terminal 2 imehudumia about 2.7m to 3m passenger na 2020 ndio terminal 3 ikafunguliwa ndio waka separate domestic and international 🤣🤣🤣🤣
 
Unaongelea ukubwa au unaongelea huduma, mana mm naweza nikawa na kibanda changu cha m-pesa kdg tu lkn kikawa kinahudumia wateja 100 kwa cku kulingana na matangazo lkn mtu akawa na duka lake kubwa la m-pesa lkn akawa anahudumia wateja wawili.
Your excuses are as foolish as you, any airport sio kibanda cha mpesa.
 
Back
Top Bottom