Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo Eastleigh ina vi apartments viwili vitatu lkn eneo kubwa pia ni ma slums kushoto kulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni slum ya wasomali πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Nyingine zote za wakikuyu, kalenjin, luo Lakini Eastleigh ni one bigger slum special for Somalis πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mwanza haiitaji football stadium mpya wakati CCM Kirumba inaweza kuwa modernised at least cost! Badala yake wajenge mkoa mwingine kama Morogoro ama Tanga!

I thought of that to ..lakini ni ngumu kuwapangia CCM cha kufanya na pesa yao .. if they are willing to invest or share cost it would save alot of cost sio Mwanza tu bali hata .. Arusha (Sheikh Abeid Stadium)
 
Picha za upande[emoji16][emoji16][emoji16] nipe jina la hio sehem nikuonyeshe kitu[emoji23][emoji23]
Sehemu ipi ? This is the street view of Dar CBD,
Just accept Dar has bee rapidly transformed to modernity and your Nairobi remains dirty, oldy, disorganised and chaotic place. Ndio maana mnashangaa sababu mlikaririshwa kuwa kamji kwenu ndio bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…