Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo unawagonga kweli kweli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hivi ukilinganisha watumishi house ya pale gezaulole kigamboni hii yako vinaendana kweli? Dah kubwa geographically na nyumba kama hizi zipo nyingi maeneo tofauti
Inje ya kale ka cbd na kariakoo soko chafu kuna nini tena??
 
Inje ya kale ka cbd na kariakoo soko chafu kuna nini tena??
Mzee taja soko lolote hapo Nairobi tulicheki.
Kariakoo is an International Market. Inahudumia nchi zifuatazo:-
1. Congo
2. Burundi
3. Rwanda
4. Uganda
5. Zambia
6. Malawi
7. Zimbabwe
8. Mozambique
9. Comoros

Wewe kijana kutoka kibera unadhani tunafanana!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…