Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bora nyie DC😀😀😀😀😀
Lakini umekula

Usijali, Kenyans sio Ombaomba Kama vile wabongo. Hata kama sijala sitokuomba maana huna mwenyewe ombaomba.

Iweje hiyo level hadi Ali Kiba Mzimamzima anaimba hayo mambo ya ombaomba ya wabongo kwenye wimbo - "Usiniombe"
 
Stop being a blind fanatic. .........Arusha is so small

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
Eldoret ndio nimeijua majuzi tu,Arusha umeijua tangu ukiwa mdogo, alafu useme ni ndogo though imekua jiji 2010 kama sijakosea

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Usijali, Kenyans sio Ombaomba Kama vile wabongo. Hata kama sijala sitokuomba maana huna mwenyewe ombaomba.

Iweje hiyo level hadi Ali Kiba Mzimamzima anaimba hayo mambo ya ombaomba ya wabongo kwenye wimbo - "Usiniombe"
Hakuna nchi africa isioomba hapo utakua umetuingiza chaka......
Nchi zote zinaomba africa😀😀😀😀
Au tunavowaita DC basi munajiona DC kweli
🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Gor Mahia in TZ: Respect the real Ogs
DEm1XTFXsAAoeNt.jpg
 
This is the Arusha underconstruction. Not Machakos or Eldoret. Hapa kazi tu. Known as Safari City. Acheni maneno Nyangau.
safari_city_p1.jpg
12ABC_I_07.jpg
m_051737.jpg
maxresdefault-1.jpg
Safari-Cty-c0e04648952fbd4f211d4107464a0ffd.jpg
1.jpg
nhcpx.jpg
New+Picture+(3).png
8be8029076f3f4e25aef3a53ab0505d6.jpg

06c2dcdb9fd346475ba2cdcb43194363.jpg

Look at your tiny arusha. ....don't bring me other statistics coz all these cities have grown in number

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
 
Eldoret ndio nimeijua majuzi tu,Arusha umeijua tangu ukiwa mdogo, alafu useme ni ndogo though imekua jiji 2010 kama sijakosea

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app

seriously. ....I thought geography took care of that back in primary School.
 
Hakuna nchi africa isioomba hapo utakua umetuingiza chaka......
Nchi zote zinaomba africa😀😀😀😀
Au tunavowaita DC basi munajiona DC kweli
🙄🙄🙄🙄🙄🙄

Kenya ndio husema nyinyi mkafuata sio nyinyi kutuambia!

Kwenu huko ni kujitekenya na kucheka wenyewe
 
Mkuu hivo ndivyo Uhuru alivyoomba na deni la Kenya limefikia hapa. Hawa Nyagau hawana pakutokea humu.
IMG_20170712_223428.jpg
IMG_20170712_223428.jpg
 
seriously. ....I thought geography took care of that back in primary School.
We jamaa Kenya niijue sana ili iweje? Kuna sehemu ambazo Ni za muhimu sana kuzijua kenya eldoret ni least

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Kenya ndio husema nyinyi mkafuata sio nyinyi kutuambia!

Kwenu huko ni kujitekenya na kucheka wenyewe
Acha maneno mengi. Angalia jinsi Uhuru alivyokuwa omba omba nakuweza kupaisha deni juu. Lol Uhuru noma, kapita raisi wote wa Kenya kwa kuomba mikopo.
IMG_20170712_223428.jpg
IMG_20170712_223428.jpg
 
Back
Top Bottom