Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe ilipata ajali[emoji23][emoji23]
Wivu mbaya, sgr ni ya wakenya wala sio ya serekali ya kenya...mizigo km inafika poa na watu wanafanya yao kodi inalipwa wee unaumwa kw lipi haswa..punguza hasira jamani
Mbona mulichapwa viboko na wachina kama yenu sasa 🀣🀣🀣🀣
 
Mbona hakushinda kesi sasa kama anadai ashinde kesi kwanza tujue unafkiri sheria za ardhi tanzania zinasemaje??🀣🀣🀣
Tatizo mmezoea kusamehewa madeni sasa leo kulipa balaa, nchi la bakuliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona hakushinda kesi sasa kama anadai ashinde kesi kwanza tujue unafkiri sheria za ardhi tanzania zinasemaje??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbna na nyie safari mmesitisha km hamumuogopi[emoji23]
 
Vipi leo hamjapewa donge nono kutoka japan, nchi la bakuli[emoji16][emoji16]
Wamepewa na mjerumani leo wazee wa kuzungusha bakuli la sadaka[emoji23][emoji23]kisha eti wanawaita mabeberu, hawa majamaa wanafiki kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…