Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Umesema vizuri sana raisi na wasanii wenu ndo wanapewa attention huku, huko kwenu a normal kenyan is very respected.Nani anashobokea mkenya huku wewe mama,nyie ndio mnaishoboka pumbavu ndio maana sio Rais au wasanii wa bongo wakija kenya huko inakua habari kubwa kama sikukuu ya nchi
Hapo kuna ghorofa nyingi tu sema mnazipenda hizo tatu na ndiyo zinazowafanya muwe na wivu wa kike.Gorofa tatu za blue na kariakoo noisy market.[emoji16][emoji16]
Huo upuuzi tulishawaachia nyie, cc huku kwetu hao ni Watz, wamezaliwa Tz, wameanza kusoma Tz na utajiri wao wameupatia Tz.Of arabic and hindu descent[emoji57]
Mbona nyinyi wafrika weusi msipate huo utajiri?Huo upuuzi tulishawaachia nyie, cc huku kwetu hao ni Watz, wamezaliwa Tz, wameanza kusoma Tz na utajiri wao wameupatia Tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mngeanza kuheshimiana wakikuyu na wajaluo kwanza nyang'auUmesema vizuri sana raisi na wasanii wenu ndo wanapewa attention huku, huko kwenu a normal kenyan is very respected.
hayo masuala ya waafrika weusi na weupe hilo nalo pia tumewaachia ....Mbona nyinyi wafrika weusi msipate huo utajiri?
Mmeruachia wakati kila mara mnatuambia jinsi nchi yetu imemilikiwa na mabebetu? Acheni unafiki. Alafu weka list yote ya top 20 na ufananishe na la Tanzania. Stop cherry picking.hayo masuala ya waafrika weusi na weupe hilo nalo pia tumewaachia ....
mnajidhihirisha ni jinsi gani mind set zenu zimekaa kimatabaka/kubaguana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ila vip kuhisu uko kwenu kulikoni naona washua wenu hapo walioishika kenya
mfaño huo chiniView attachment 1778579
hakuna cha unafki....Mmeruachia wakati kila mara mnatuambia jinsi nchi yetu imemilikiwa na mabebetu? Acheni unafiki. Alafu weka list yote ya top 20 na ufananishe na la Tanzania. Stop cherry picking.
Nionyeshe picha ya muuza miwa Nairobi cbd au vibanda za mama ntilie katikati mwa jijiNairobi hakuna?
Lakini ikija upande wa Kenya ni mabeberu. Hypocrites!!Racist, They are Tanzanian.
I made the same observation too. Posta na Westlands zinafananaSame size na Westlands 😁😁😁
View attachment 1778456
Kuna Lake Oil Station, Ingekua Hiyo Picha ya Tz ungeskia mkenya akisema “ Great to see Kenyan Companies Dominating in Tanzania” [emoji23][emoji23][emoji23].
Ukiwaambia walete list ya matajiri wa Kenya tofauti na wazungu, wahindi au waarabu wanakuletea wanasiasa, utakuta mtu analeta jina la Kenyatta, joho et al kwamba ni tajiri, Wakenya ni wehu sn wallahi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hayo masuala ya waafrika weusi na weupe hilo nalo pia tumewaachia ....
mnajidhihirisha ni jinsi gani mind set zenu zimekaa kimatabaka/kubaguana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ila vip kuhisu uko kwenu kulikoni naona washua wenu hapo walioishika kenya
mfaño huo chiniView attachment 1778579
It is just one of the 53 Tanzanian companies operating in Kenya. Kenya has over 500 companies operating in Tanzania. So is it a lie that we are dominating? Kama unatia shaka, tafuta hotuba ya Mama SSH akihutubia bunge la Kenya - amezungumzia hili swalaKuna Lake Oil Station, Ingekua Hiyo Picha ya Tz ungeskia mkenya akisema “ Great to see Kenyan Companies Dominating in Tanzania” [emoji23][emoji23][emoji23].
Hii hapa zaidi ya muuza miwa na mama ntilie [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nionyeshe picha ya muuza miwa Nairobi cbd au vibanda za mama ntilie katikati mwa jiji
hakuna cha unafki....
ni mwendo wa kentatta family kudadeki mbona mtaisoma namba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mwendo wa wanasiasa ...
tumewaachia hizo harakati za sijui mkenya mweusi,mara ooh sijui mkenya mweupe mara ooh sijui mkenya mjaruo mara sijui mkenya mkikuyu,,,
hizo mambo sisi hatuna endeleeni na akili za makalioni