President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,683
- 94,351
Kwa mujibu wa comment hii aliyeshituka ni wewe. Umezoea huku unalialia kama mtoto anayenyonya maziwa ya mama yake!!!Nafurahi jinsi mnashtukishwa na miradi kama hizi. Huku tumeziona tukachoka jamani
Mbona unataka tujaze server wakati tumezipost huku huu mwaka wa tatu sasa?Leta sample
Zinaubora ,naona umekua makini this timeMbona unataka tujaze server wakati tumezipost huku huu mwaka wa tatu sasa?
Anyway, hii hapa Jacaranda Gardens kule mtaa wa Kahawa West, just an ordinary neighborhoodView attachment 1776777View attachment 1776778View attachment 1776781View attachment 1776782View attachment 1776783View attachment 1776784
Ukweli ni kwamba hizi miradi zinawapa goosebumps kinoma. Unakumbuka kuna wakati mlikuwa mkiziita 'dormitories zinazofanana' when we used to post such here? Leo mnazishabikia 😂 😂Kwa mujibu wa comment hii aliyeshituka ni wewe. Umezoea huku unalialia kama mtoto anayenyonya maziwa ya mama yake!!!
Unapenda utani siyo. Nairobi Nyumba zake ni za kizamani.Ukweli ni kwamba hizi miradi zinawapa goosebumps kinoma. Unakumbuka kuna wakati mlikuwa mkiziita 'dormitories zinazofanana' when we used to post such here? Leo mnazishabikia 😂 😂
Zipo nyingi tu kaka ila hakuna haja ya kujaza server. Kumbuka huu mfumo wa gated communities tuliukumbatia kitambo so such developments are almost everywhereZinaubora ,naona umekua makini this time
Anayependa utani ni wewe. Ukisema nyumba za zamani unamaanisha nini?Unapenda utani siyo. Nairobi Nyumba zake ni za kizamani.
Nashanga leo unashabikia dormitories! Uzalendo jamani! 😂 😂
Atakuletea zile zile za cku zote nothing new, yn leo Venus Star kawastua kweli kweli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Leta sample
Si ndiyo maana Dar is ahead all cities in EA as far as Estates investment is concerned.Nafurahi jinsi mnashtukishwa na miradi kama hizi. Huku tumeziona tukachoka jamani
Najua ila most of em hazinamvutoZipo nyingi tu kaka ila hakuna haja ya kujaza server. Kumbuka huu mfumo wa gated communities tuliukumbatia kitambo so such developments are almost everywhere
Kumbe mnajua Nairobi na lile dongo inaharibu sn mandhari, ss utamlaumu nani wkt Mungu ndiye amepanga Dar iwe impressive naturally[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama Dar ingekuwa na dongo nyekundu ingekaa vibaya sana. Huu mchanga wa grey unawaficha aibu nyingi maanake most of your areas are
exposed.
Mkuu bado unawapiga tu na vitu vipya, si wanaumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona uko na mauchungu hivi? Hupendi mkiambiwa ukweli? Residential za Nairobi huwezi ukalinganisha na midream houses zenu. Ama haikuingii akilini?Ukitoka hapo weka na zile estate mlizopiga upande upande kwisha habari yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa weka mpya km mwenzako Venus Star [emoji294] tumekubaliana au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zipo nyingi tu kaka ila hakuna haja ya kujaza server. Kumbuka huu mfumo wa gated communities tuliukumbatia kitambo so such developments are almost everywhere
Kila mtu ana mtazamo tofauti. One man's meat is another man's poison. Huenda mimi pia sivutiwi na za kwenu ila kwa macho zako zinaweza kuwa tu sawa. That's the beauty of lifeNajua ila most of em hazinamvuto
Ukisema niweke mpya unajaribu kumaanisha hizo picha alizopost hazijawahitupwa humu ndani au wamaanisha nini?Sasa weka mpya km mwenzako Venus Star [emoji294] tumekubaliana au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sauti ya uchungu mkubwa hii [emoji3516][emoji3516][emoji3][emoji3][emoji3]Mbona uko na mauchungu hivi? Hupendi mkiambiwa ukweli? Residential za Nairobi huwezi ukalinganisha na midream houses zenu. Ama haikuingii akilini?
Kwamba ushawahi kuziona humu au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ukisema niweke mpya unajaribu kumaanisha hizo picha alizopost hazijawahitupwa humu ndani au wamaanisha nini?