Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huku Kenya tanzania tunaizidi movie translators and deadly slums hakuna zaid yaapo, somebody DJ afroTanzania yupo juu,lakn kwa development bado maana Nairobi wagen wamejaa kwa city sie tupo kwa slums
 
Who are you by the way. Do you think ninyi vijana kutoka Kenya mtawaweza vijana wa kibongo?
No no no no no. Jaribu tena. By the way umekula lakini dogo!? {in man voice}
Mimi mbongo we mama,sio mpaka uwe genius ndio ujue Nairobi is more lit.
 
Heheeee. Jamaa anadai eti hizi picha sio Dar es salaam. Adai nije Edit. Msaidie Hutu jamaa. Hiyo ndo Dar es salaam ya Magufuli.
Mbona uongo huuu dar haiko hivi labda pic za kuedit

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
chochote unachovuta nakushauri uache,Dar es salaam ni miongoni mwa miji michafu zaidi duniani.
 
chochote unachovuta nakushauri uache,Dar es salaam ni miongoni mwa miji michafu zaidi duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…