Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wasomi wa humu, swali langu leo ni kwa takwimu. Hivi watanzania asilimia ngapi ni vichaa!? La kwanza hilo. La pili watanzania asilimia 99.9% hutumia asilimia ngapi ya bongo zao???

Mwenye kujibu alete na sources.
 
Nimesahau, wabongo hapa kwenye JF nao pia hutumia asilimia ngapi ya bongo zao!?
 
Wasomi wa humu, swali langu leo ni kwa takwimu. Hivi watanzania asilimia ngapi ni vichaa!? La kwanza hilo. La pili watanzania asilimia 99.9% hutumia asilimia ngapi ya bongo zao???

Mwenye kujibu alete na sources.
Kwanza jiulize kwann watanzania wanawalisha wakenya kwa chakula ukijibu hilo swali uje nikujibuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwanza jiulize kwann watanzania wanawalisha wakenya kwa chakula ukijibu hilo swali uje nikujibuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hmm, yako kweli umedhihirisha wazi, sijui nikuweke kundi gani, vichaa...... Ni yako hii ni 0.8% ya bongo zako.

Kweli mna mambo
 
huyu mbwa yani ana mambo ya kipumbavu kweli halafu mijitu mingine inafata na kuamini tu kila anachosema bila kupima kichwani, eti kisa uhuru kasema hvyo na samia nae aruhusu halafu wazee waje kuflood ajira zte hapa wazichukue waoπŸ€¦πŸΏβ€β™‚οΈ, vitu kwa ground ni different kwao wao kenyans business au investors come first ubinafsi na protectionism ndomana ROSTAM na wengine wengi wameshindwa huko ila huku kwetu sisi ukarimu na uungwana wetu unatuponza wanajiachia tu mffffyuuuuuu......
 
wanazingua sana,,,kwanza wanatupa wasi wasi inawezekana pia wakawa hawalipi kodi kampuni vivuli hizo
 
Hii [emoji116] hataki kujibu [emoji23][emoji23][emoji23]. Na mwenzake bwana Mapesa [emoji23][emoji23][emoji23] . Bwana mapesa a.k.a mzee wa bugatti . Eti Azam haina standards [emoji23][emoji23].. muite hapa aje
watu wanauza bidhaa zao uarabuni halafu anakuja kichaa mmoja chokoraa from kenya anakuambia product hazina ubora....


kenya wanaishi kwa shida sana[emoji1787][emoji1787]
 
masuala ya art na mkenya wapi na wapi....


ndiyo maana wasanii wenu wengi wapo rafu hawavutii hawapendezi kabisa kimavazi[emoji1787][emoji1787]
Si eti hawapendezi ni nyinyi hamwaelewi diffrent style
 
Your president said either compet and complicate things or go cooperate and do the the business pande moja mna UHURU wakufanya biashara na SULUHU wa kuenda vikwazo πŸ™‚πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…