Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe unakuanga fala, Mambo ya pipeline ilianza 2011 hata before Magufuli akuwe President. Magufuli hakuwa anataka hiyo mambo ya pipeline kuja Kenya.



View attachment 1773945
So kama ilianza 2011 inamana magufuli alikua hajui au??magufuli aliongelea sana hio pipeline na sio hio tu mpaka ya kwenda uganda na congo 🤣🤣🤣 yani usilete siasa za kina ruto hapa

 
Density ya magorofa ilioko dar ni times 5 ya nairobi sasa jengeni kwanza muje kushindana tena 🤣🤣🤣 na sasa soon majengo yanaanza kuinuka tena
 
Nimekutag mwenzako anasema kenya haikopesheki tena kwa madeni iliokua nayo 🤣🤣🤣🤣 kumbe hua munajua ukweli

expressway ni mess kubwa kwa wakenya project ambayo chinnese anawatoza ushuzuru kwa miaka 30 na ataimiliki na ukumbuke mpaka employment watazichukua wao 😅😅😅 sasa piga hesabu za kihayawani tu kua mchina atatengeza pesa kiasi gani alaf piga mstari mwekundu
 
NAni atawakopa nyinyi??🤣🤣🤣 mulipo muko kwenye red line then kichaa gani anawakopa labda mchina aekeze hela yake alaf awatoze ushuru mara mbili mombasa hapo sawa
 
How many floors does this building have and what is its name?
 
Mapesa Una matatizo.

Unaona hii list ina page ngapi? Na angalia hapa ni page ya ngapi na yanasoma makampuni Mangapi? Who is lying for the sake of lying now? What a loss[emoji23]


View attachment 1774020
Wapi hizo million moja?🤔🤔.,Am seeing even small registered businesses, some briefcase 😂😂😂 nilijua nyie ni vilaza, case closed., eti one million companies!,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…