Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kupima magari uzito[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chakula ni jipu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

ila Dar tumepiga bao sana Kenya

TECNO-C5 Wereva
 
Arusha is tiny.its a town yes but City hapana

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
Unadhani city ni nn?labda utoe shule yako tukusikie ....usikute basic knowledge huna tunajichosha tu bure

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Uache usee*** sasa ..how many millions of tons of cargo did mombasa receive last year ? I know its around 22million tons
Dar last year received 15million sasa hapo all ports combined haifikii half ..unadhiirisha haujasoma

daresalaam port is small.....the others are just village ports.ldc ni ldc tu
 
Mombasa 2016 32 million tons

sent from iPhone 7
 
kupima magari uzito[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chakula ni jipu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

ila Dar tumepiga bao sana Kenya

TECNO-C5 Wereva

Princess, hii bao mmetupiga ni gani?
 
Machakos ya Alfred Mutual mzee wa filamu pamoja na Eldoret. Wamebaki kuongea tu. Picha hawana. Arusha hiyoooo
 
Jamii app inaonyesha simu unayotumia wale mnatumia iPhone alafu mnakua na comment za ajabu ajabu mnatoa picha mbaya kwa iyo brand

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
daresalaam port is small.....the others are just village ports.ldc ni ldc tu
Hahahaa. Dar na Mombasa zinatofauti ndogo sana na wala usiseme chochote.
Halafu juzi tu mmeweza kupanua sisi ndio tunaipanua. Sasa Dar hivi Capacity yake ni 13.5ml/Per Year Mombasa ni 22ml/per year. And you expect to expand more to 24ml/per(mmepata msaada toka Japan) year ifikapo 2020
Container handling capacity at Mombasa Port boosted - Capital Business.
But dar by 2020 after expansion itakuwa na uwezo wa 25Ml/Per year
New Financing to Improve Efficiency and Improve Capacity at Port of Dar es Salaam

Nawashangaa sana mnajisifu kweli. Halafu bado kuna Tanga Port, Mtwara Port, Unguja Port, Pemba Port and Bagamoyo Port.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…