Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wenye akili fupi kama wewe wanasema walimuona anawekwa kaburini. Lakini amini amini nakuambia JPM hatakufa kamwe.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mzee kama alijua atakata moto akaona akamilishe ndoto zake mapemaa kwa kuifikisha reli Mwanza zen hizo lot zingine watajijua wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
He was a visionary, alijua akiiacha Makutupora watu wataifanya a rail to know where so akaamua aianzie Mwanza ili watu waone aibu wamalizie kipande Cha kati...He was ahead of his time..
 
Mkuu ulikua bado unatumia passport ya zamani...
 
Kweli wewe akili ya utopolo, Diamond ameingilia wapi, unaandika post zilizotiwa error na wa Nigeria, unasema niza wakenya, ilimradi tu, uanze povu. Nishakunusa kitambo sana. 🀣🀣🀣
ichoboy01 ni mwehu siku zoteπŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ utachoka bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…