Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwendazake Alijenga 3500km Za lami nchini kwa kipindi chake...nukuu kutoka kwenye hotuba ya raisi SSH Jana

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app

Kwenye nuuku ya mama pia, Kikwete katila miaka yake 10 alipeleka umeme vijiji 2018.

Magufuli miaka 5 alipeleka umeme vijiii 8300+.

Yaani kwa speed ya utekelezaji wa Kikwete ingechukua miaka 40 kufanya alichofanya Magufuli kwa miaka 5.
 
Zama zinabadilika mkuu kumbuka enzi ya Jk pia watu walikua na maendeleo binafsi kiliko kipindi cha mwendazake
 
Tanzania can never rival kenya in real estate, you can take this to the bank.

Si ndiyo kama zile mliwanunulia polisi kwa mbwembwe kisha ndani ya miaka miwili tu zikaanza kufugiwa kuku! Nyie jamaa buana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…