Sawa. Lakini kuna hesabu hapo haziingii akilini mwangu.
Ndio. Na Ndio Maana nikasema wanajenga mansions ( nyumba kubwa za kifahari). Lakini mambo ya ukarabati na landscaping kugharimu pesa zote hizo kwakweli sielewi.mara nying wanajenga nyumba za ghorofa moja.. kuna gharama kama ujenzi nakubaliana nazo.. lkn za ukarabati zaid ya 100m?[emoji1438]♂️
Bwahahaha!!narudia, mkenya wa kawaida ni tajiri akienda tanzania[emoji23][emoji23]Sio kwamba masikini wa Kenya ana afueni, nope bali masikini wa Tanzania ni tajiri wa Kenya,
Jaribu kuangalia hizi bongo movies sababu huwa lazima ziwe na scenes za uswahilini kwa watu wenye kipato cha chini na scenes za wa mboga 7, Jaribu kuangalia tofauti zao
Good example, em Angalia hii footage inayoonesha maisha na mazingira ya mlalahoi wa uswahilini na doni wa ushuani
Pia Angalia ndani mwa hizo slums mnazozifananishaga na kibera uone tofauti ya mbinguni na kuzimuni [emoji28][emoji28][emoji28]
haziingii kivp? hivi unajua Mkuu wa Mkoa huwa mpaka anapewa mlinzi ni Governor wa Mkoa kama Mkuu wa Wilaya alivyo Governor wa Wilaya si watu wadogo hivyo kiusalama! Especially wale wa Mikoa ya pembezoni wa nchi! Nyumba zao zinakuwa na mpaka servant quarter na perimeter wall!Sawa. Lakini kuna hesabu hapo haziingii akilini mwangu.
Unaleta ajali ya gariz zilizogongana head to head zikiwa katika speed ya over 120kph
ajali ni ajali kama ile ya BRT!Unaleta ajali ya gariz zilizogongana head to head zikiwa katika speed ya over 120kph
Speed ya 20kph gari linamomonyoka km udongo[emoji23][emoji23][emoji23]ajali ni ajali kama ile ya BRT!
Sawa. Lakini kwani ulinzi ni ujenzi? Kawaida hawa viongozi wanapewa ulinzi wao lakini hapa tunazungumzia gharama ya uzio na landscaping. Gharama kubwa kiasi hicho kuwa allocated kwenye perimeter wall na landscaping hazileti sense unless estate ambayo hiyo nyumba inajengwa ni kubwa sana, wanajenga some kind of basement or bunker au kuna security systems ambazo wanainstall kuizunguka Nyumba. Sema we don’t have any information about the construction sites kuhakilisha hili.haziingii kivp? hivi unajua Mkuu wa Mkoa huwa mpaka anapewa mlinzi ni Governor wa Mkoa kama Mkuu wa Wilaya alivyo Governor wa Wilaya si watu wadogo hivyo kiusalama! Especially wale wa Mikoa ya pembezoni wa nchi! Nyumba zao zinakuwa na mpaka servant quarter na perimeter wall!
Jamaa hakuna atakaye kuelewa mzee, we kaba tuSawa. Lakini kwani ulinzi ni ujenzi? Kawaida hawa viongozi wanapewa ulinzi wao lakini hapa tunazungumzia gharama ya uzio na landscaping. Gharama kubwa kiasi hicho kuwa allocated kwenye perimeter wall na landscaping hazileti sense unless estate ambayo hiyo nyumba inajengwa ni kubwa sana, wanajenga some kind of basement or bunker au kuna security systems ambazo wanainstall kuizunguka Nyumba. Sema we don’t have any information about the construction sites kuhakilisha hili.
mshikaji wacha ubishi wa ajabu tshs 300-400 mln kwa nyumba ya Mkuu wa Mkoa ni reasonable na isitoshe ni ya serikali! Mkuu wa Mkoa pia hu-host viongozi wa serikali! Unajua nyumba ya speaker ina-cost ngapi?Sawa. Lakini kwani ulinzi ni ujenzi? Kawaida hawa viongozi wanapewa ulinzi wao lakini hapa tunazungumzia gharama ya uzio na landscaping. Gharama kubwa kiasi hicho kuwa allocated kwenye perimeter wall na landscaping hazileti sense unless estate ambayo hiyo nyumba inajengwa ni kubwa sana, wanajenga some kind of basement or bunker au kuna security systems ambazo wanainstall kuizunguka Nyumba. Sema we don’t have any information about the construction sites kuhakilisha hili.
Jpm kaondoka ndio wameeanza huu ushenzi wakati kule dodom makao makuu za wizara zinajengwq kwa gharama izohello Tanzanians. hizi nyumba za wakuu wa mikoa na wilaya.. zinakuwa ni nyumba ya mkuu wa mkoa binafsi au zinakuwa za serikali?? yan kila mkuu wa mkoa anaekuja anakaa hapo?
afu hizi gharama sasa[emoji1438]♂️
Tatizo unakurupuka! Mimi sijakataa kuwa hao viongozi wajengewe nyumba zenye hadhi kubwa. After all, they represent the government! Hiyo TZS 360 million sio gharama ya nyumba! Ni gharama ya uzio na landscaping. As in ukuta na bustani na tile pavements. Sasa uniambie ni aina gani ya uzio na bustani zinajengwa Kwa hiyo gharama. Especially kwenye nyumba ya DC.mshikaji wacha ubishi wa ajabu tshs 300-400 mln kwa nyumba ya Mkuu wa Mkoa ni reasonable na isitoshe ni ya serikali! Mkuu wa Mkoa pia hu-host viongozi wa serikali! Unajua nyumba ya speaker ina-cost ngapi?
kwani tatizo nn? ma-dudge, RAC ni muhimu kuwa na nyumba za maana na hubaki kuwa za serikali au mahakama wakistaafu! Ushaona Mkuu wa Mkoa mtu wa kawaida sana? Angalia Katiba inasemaje!
BRT zinaoza kule stand! 🤣ajali ni ajali kama ile ya BRT!
mshikaji wacha ubishi wa ajabu tshs 300-400 mln kwa nyumba ya Mkuu wa Mkoa ni reasonable na isitoshe ni ya serikali! Mkuu wa Mkoa pia hu-host viongozi wa serikali! Unajua nyumba ya speaker ina-cost ngapi?
kwani tatizo nn? ma-dudge, RAC ni muhimu kuwa na nyumba za maana na hubaki kuwa za serikali au mahakama wakistaafu! Ushaona Mkuu wa Mkoa mtu wa kawaida sana? Angalia Katiba inasemaje!
Tai nyekundu hko kwao ukivaa kwhyo unakatwaNaona hadi rangi za nguo za kuvaa, mnachaguliwa kama watoto! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hamna uhuru kabisa, mambo ya North Korea hayo yashaanza na bado!!! [emoji1787]
View attachment 1760404
View attachment 1760406
Ni upigaji tuu hamna fensi ya kucost milion 300 hapo kwani wabazungushia porigharama za ujenzi ghorofa tunakubaliana.. gharama za fence sijui land clearance/scaping sijui mavitu gan kucost zaid 300m sio reasonable
Kwakweli hapa kazi ipo.Naona hadi rangi za nguo za kuvaa, mnachaguliwa kama watoto! 🤣 🤣 🤣 Hamna uhuru kabisa, mambo ya North Korea hayo yashaanza na bado!!! 🤣
View attachment 1760404
View attachment 1760406
😂 😂 😂Tai nyekundu hko kwao ukivaa kwhyo unakatwa