Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Useless president. Jamaa kafa kama mende Nairobi

Most stupid president. Darwin's sward winner.
Hasira zako zitasaidia nn kwamba yatazuia maendeleo tanzania ama yatarudisha miradi nyuma ama???? Magufuli ni rais wa tanzania ww anakuhusu nn ??? Anahusika nn na kenya mbona munakua wajinga na wapumbavu 😁😁😁 huyo kenyatta mlionae nchi inaibiwa kila siku 2b ksh anamaana gani kwenu
 
Do you know what's called currency flactuations and it's effects? Ukijua hutauliza swali za kijinga Kama hizi.
 
Kwani hi ni source ya Magufuli?😂😂🤣🤣

View attachment 1759761
Hii hapa official website ya knight frank tafuta hio page au huo ushuzi ukipata nitag 🤣🤣🤣👇👇👇👇
 
Latest data by Knight Frank, ukipata Tz in this list unitag[emoji1787][emoji1787][emoji23]

View attachment 1759677
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huwa unakujaga hivyo hivyo ila mwisho wa siku huwa unaishia kuumbuka...

mwaka jana ulikuja na data zako za kuokota hivyo hivyo kwa bahati mbaya huwa unaishia kuumbuka,,,
leo unarudi tena na mtindo wako ule ule,,,
 
Bwahaha!!tatizo uwezo wenu ndio uko chini[emoji23][emoji23]
Hamna cha maisha rahisi wala nini, mkenya wa kawaida bills zake za mwezi ukilinganisha na mtz basi kw hko atahesabika km ana pochi nene
 
Mkuu Tanzania kuwa na dollars millionaires wengi huwa inamuuma mnoo [emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani ataokota chochote mitandaoni ili ajifariji.
 
Noma sana[emoji23][emoji23]
Na hao wababe wote ndio wanaongoza karibia kila kitu hapa africa
 
huyo jamaa kila siku huwa anaumbuka lakini hakati tamaa,,,,,hakika abarikiwe sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

huwa namcheka sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…