President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,621
- 94,218
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakuja kivingine sasa.
SGR kwenda Turkana
Nairobi to Turkana.
View attachment 1757797View attachment 1757798View attachment 1757799
Mabasi ya kiboya sana[emoji1787][emoji1787]Salaaala!!! [emoji1787] Yaani ule mtambo unaufananisha na haya matofali? Hebu rudi nyuma uukague vizuri mkuu! [emoji1787]
yaani jiji kuu la nchi unakutana na gari za kwenda mikoani mbovu mbovu kama hizo ,,daah kweli kenya ni stupidDaya express from Nairobi to upcountry
View attachment 1757803View attachment 1757804View attachment 1757805
Eti kenya ni nairobi tu, anagalia vyombo vya watu wa northern kenya kule mnakokudharau..
Za uso na michina[emoji23][emoji23]povuuu,,,,,,,,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ushakula za uso tulia
Michina[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usijiingize hko utaumia mzee babaKati ya Atcl na kq ipi ina domestic route nyingi?
repeat again & again....Eti kenya ni nairobi tu, anagalia vyombo vya watu wa northern kenya kule mnakokudharau..
View attachment 1757935View attachment 1757936View attachment 1757938
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] usipoteze mda ,kwenye hiyo sekta mpo doro ..Za uso na michina[emoji23][emoji23]
Kenya ni nairobi tu, cheki mabasi ya northern kenya hayoView attachment 1757944
Ndege za domestic route ziko tayari, KQ inasaidia. Si wajua tena KQ pride of Africa tunaruka nje sana sana, yaani mbele mbele kudadadeki! 🤣Usijiingize hko utaumia mzee baba
Mnaringa wakati migration ikifika wanarudi kwa Kenya hao wanyama, dadeki nyie! 🤣 🤣 🤣11. ARUSHA
Geneva of East Africa. Arusha ni mkoa kongwe umepakana na Kenya, Manyara, Simiyu, Kilimanjaro
GATEWAY OF TOURISM ARUSHA
View attachment 1757954View attachment 1757955View attachment 1757956View attachment 1757958
SGR yenu ni ya mzungu?Michina reloaded[emoji1787][emoji23][emoji1787]