Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona vile unavyojidanganya sasa
Mzee unatakiwa ufanye utafiti kabla ya kuweka kitu humu. Kwa EA Public Transport Tanzania inaongoza
 
Prove hilo hayo mabasi yapo Tanzania miaka na miaka. Wao wame Extend Business kuja huko kenya. Ndio maana ninawaambi hamjui chochote.
Kenya mabasi ya tahmeed coach yapo miaka na miaka pia, we unasema nini bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…