The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Ila wao wanatumia vitani c unajua Kenya ni failed state [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nimekuambia hizo helicopter ujinga mtupu.
1. Hazina weapon zozote.
2. Zinabeba watu hawazidi 4.
3. Technology ya 1963
4. Ziketengenezwa kwaajili ya police
Evidence:
View attachment 1755785
Hizo ndege ni mpya. Wacha ujinga.Akirudi na chuma lake chakavu la kitaliano nitag 😃
Naanza kupiga dozi sasa nenda Wikipedia sasaHili jitu unajua linaitwaje? Jitu linafanya mashambulizi ya hakika. Jitu linaitwa Harbin Z-9. Tunazo sita wakati nyinyi mnaringa na helicopter mbili.
View attachment 1755926View attachment 1755927View attachment 1755928
Sawa ndiyo nyie mnazibebesha kombora kwasababu hamna ndege za kisasa za kubeba kombora, nchi yenu ni failed state, helkopta ya polisi mnaipeleka vitani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe unaniambia kama nani? Unajuaje kwamba hazina weapons? Kwa hivyo ninapokuambia kwamba zinarusha kombora nakudanganya? Kwa hivyo mimi ni wazimu niseme kwamba zinarusha kombora ikiwa hazirushi? Unachukulia kila mtu kwamba ni mjinga huku. Halafu nimekuuliza kama unataka nikuletee video uone ikirusha kombora na umenyamaza. Hujajibu hilo swali. Anyway wacha nitafute hio video nikuwekee uwache kunipotezea muda ukipingana ujinga. Hizo ndege zina kombora. Period. Upende usipende. Tulia nikuwekee video na uwache kupingana hovyo
Sasa wewe pia unasupport uongo?Ila wao wanatumia vitani c unajua Kenya ni failed state [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani pia wanazibebesha kombora kwa hivyo marekani pia ni failed state? Unaona unavyoichukia Kenya hadi unadhani kwamba Kenya ndio nchi ya kipekee inayofanya mambo haya?Sawa ndiyo nyie mnazibebesha kombora kwasababu hamna ndege za kisasa za kubeba kombora, nchi yenu ni failed state, helkopta ya polisi mnaipeleka vitani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jitu unajua linaitwaje? Jitu linafanya mashambulizi ya hakika. Jitu linaitwa Harbin Z-9. Tunazo sita wakati nyinyi mnaringa na helicopter mbili.
View attachment 1755926View attachment 1755927View attachment 1755928
Pumbavu zako. Kumbe mna H225 mbili tu. Kumbe napoteza muda wangu hapa bure tu. Hizi ndio ndege mlizonazo. Soma mna H225 ngapi hapo.
View attachment 1755914
Marekani pia wanazibebesha kombora kwa hivyo marekani pia ni failed state? Unaona unavyoichukia Kenya hadi unadhani kwamba Kenya ndio nchi ya kipekee inayofanya mambo haya?
Wacha uongo. Nimepiga screenshot saa hii na bado inasoma 152 aircrafts. Tazama timestampNaanza kupiga dozi sasa nenda Wikipedia sasa
View attachment 1755929
Tazama timestamp 22:23Naanza kupiga dozi sasa nenda Wikipedia sasa
View attachment 1755929
Hizo changes ulizofanya hazijakuwa saved. Mtu yeyote hawezi kuedit wikipedia. Only authorised people can do it. Changes ulizofanya hazijakuwa saved ndio maana bado inasoma 152 aircrafts.
Article yako inaprove my point kwamba mna H225 mbili tu.Tanzania takes delivery of new helicopters
Posted 28 February 2019 · Add Comment
Tanzania is understood to have taken delivery of four Airbus Helicopters Cougar and Super Cougar transport helicopters, writes Jon Lake.
Tanzania reportedly ordered two H215M Cougar and two H225M Super Cougar helicopters in 2017.
One of the latter was spotted during its ferry flight, arriving at Valencia’s Manises Airport on the morning of September 6 2018, having flown there from the Airbus plant at Marignane.
The aircraft flew on to Faro, Portugal on September 7, and then to Gran Canaria a day later.
The final destination was Dar-es-Salaam Air Base – an enclave of Julius Nyerere International Airport, where the aircraft joined the Tanzania Air Force Command’s helicopter squadron.
The aircraft was delivered wearing a French ferry registration (F-WWOT), with the Tanzanian registration 5H-TAF taped over. It wore Tanzanian national insignia and the legend ‘Tanzania Air Force’ on the tailboom.
It was painted light grey overall, like the French Armée de l’Air H725 Caracals, but lacked the air-to-air refuelling probe and exhaust suppressors used by these aircraft, although it was fitted with full emergency flotation gear, and may also feature extra-long-range fuel tanks.
Whereas Tanzania has acquired most of its fixed-wing military aircraft from China in recent years, it has chosen to acquire western helicopter types, turning to Airbus Helicopters to replace its ageing Agusta Bell AB205A-1s and AB412EPs when these were retired in 2015. These were replaced by Airbus Helicopters H155 (EC155B1) Dauphin helicopters.
The 11 metric tonne H225M has a range of 700nm and can carry up to 28 personnel in cabin seats, or up to 14 troops on energy-absorbing wall-mounted seats. The helicopter has two large sliding cargo doors, which allow for rapid deplaning.
For cargo transport missions, the H225M’s cabin floor can accommodate a substantial internal load, while up to 4,750kg can be carried on an external load sling.
The H225M is optimised for tactical transport, casualty/medical evacuation, combat search-and-rescue, and special operations missions. It has seen operational use in Lebanon, Afghanistan, Chad, the Ivory Coast, the Central African Republic, Somalia and Mali, and has also supported NATO-led operations in Libya.
Hao wanafyeka FFU wote wakiingia nao kichaka
Pumbavu zako. Kumbe mna H225 mbili tu. Kumbe napoteza muda wangu hapa bure tu. Hizi ndio ndege mlizonazo. Soma mna H225 ngapi hapo.
View attachment 1755914
Article yako inaprove my point kwamba mna H225 mbili tu.
Hii ndege ndio unaita chuma chakavu? Ndege mpya iliyokuwa delivered mwaka uliopita ndio unaita chuma chakavu? Kichwa chako hakifanyi kazi vizuri.Hizo ndege ni mpya. Wacha ujinga.
Moja cost yake ni $29m moja. Total mbili in $58m.Article yako inaprove my point kwamba mna H225 mbili tu.